DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Barkley ni wa kuuzwa tu. Siyo mchezaji wa hadhi ya Chelsea
Ni hadhi yenu ndio maana mukamnunua
Barkley ni wa kuuzwa tu. Siyo mchezaji wa hadhi ya Chelsea
Wataje sasaKaka kuna wachezaji hawapo hapo. Hiyo ni batili.
Aliletwa na upepo wa kisulisuli huyoNi hadhi yenu ndio maana mukamnunua
Niwataje kitu gani braza wakati we unaelewa kuna wachezaji wamekosekana kisa figisu tuuWataje sasa
Figisu za nini na nani wa kuleta hizo figisuNiwataje kitu gani braza wakati we unaelewa kuna wachezaji wamekosekana kisa figisu tuu
Basi.Figisu za nini na nani wa kuleta hizo figisu
Siku nyingine usikurupuke tenaBasi.
msamehe labda alitegemea kuwakuta wachezaji wa man u hapo au arsenalSiku nyingine usikurupuke tena
Mkuu nisaidie namba 22 na 9 walikuwa ni akina nani?Throw Back Monday
View attachment 1234261
Hahaha badala ataje analeta mboyoyo.Siku nyingine usikurupuke tena
Namba 22 ni Eidur Gudjohnsen raia wa Iceland ambaye baadae pia alikuja kukipiga Barca.Mkuu nisaidie namba 22 na 9 walikuwa ni akina nani?
Dah kumbe Chelsea vimepita vyuma vya Atari ivyo!!Namba 22 ni Eidur Gudjohnsen raia wa Iceland ambaye baadae pia alikuja kukipiga Barca.
Namba 9 huyo ni fundi wa Kiargentina, Hernan Crespo.
Noma sana uyu jamaa ngoja nimcheki utube apa.Hernán Crespo no 9
Watuongezee na Cesemiro apo, yani iwe 86+Hazard+Casemiro=Kante Ngolo.Au watupe 86 + hazard
Tatuzo tukiwauzia wachezaji ..wanaenda kuflop uko ..angalia Lile saliti Qotwaa, muangalie Hazard na yeye ...wamtaka Ngolo waturudishie Hazard wetu+ Casemiro na iyo 86 yao!!Hahahahahahawa Madrid wameshafanya chelsea academy yao
No 7, ManicheMkuu nisaidie namba 22 na 9 walikuwa ni akina nani?
Nyie hebu acheni utani bhana.Wazee ofa hiyo hahahaha. Watupe 86 + casamiro + isco + JamesView attachment 1235385

Watuongezee na Cesemiro apo, yani iwe 86+Hazard+Casemiro=Kante Ngolo.
Kwa Kante waongeze na iyo 86 yao..Kipa quatwaa kajipiga risasi sokoni full aibu. Madrid wamefurahishwa na biashara ya quatwaa, morata, hazard na kovacic.
Wanataka tuendeleze undugu wa kibiashara. Ila kwa kante wataharibu undugu huu.
Tuwape
bakayoko + Barkley = Modric
Casamiro + isco + varane = Kante