Hiki kibabu uzee unampa shida na ana tatizo...hivi hata msimamo wa ligi ameuona kweliAVRAM GRANT has claimed Chelsea are the third best team in the Premier League – behind Liverpool and Man City.
The former Chelsea boss told The Athletic: “Chelsea have a good coach, with good players.
“It is a good environment, they are more relaxed in a good way that is healthy for players.
“Apart from Manchester City and Liverpool, the other 'big' teams are not so good.
“Arsenal, Manchester United and Tottenham are not performing well.
“On the football side, Chelsea have been better than all of them.”
Una bichwa gumu mkuu, uliwakomesha sana walimu darasani kukuelewesha .....
Ila tutaenda taratibuhaya kamata daftari na penseli....
Hivi kwanini nyinyi washabiki wa chelsea likija suala la mafanikio au ukubwa wa klabu mpo tayari hata kupiga mtu kisu ili muonekane na nyinyi mumo.....
Mpo tayari kujitengenezea visababu na virekodi uchwara ili mujipenyeze
Eti kwa miaka kumi ooooh toka 98.....
Sasa na mimi nikikwambia Leicester city ni timu yenye mafanikio kuliko manchester nitakuwa sawa?kwa kuangalia tu ndani ya wiki mbili hizi leicester wapo juu ya united kimsimamo.......
Ukiambiwa suala la mafanikio,ukubwa lete kiujumla wake,kusanya vikombe vyako vyote kabatini lete hapa tujue nani yupo juu.......
Ila dozi imeingia, makelele ya mgonjwa hainitishiBange mbaya sana mkuusasa hizo Mickey Mouse Cup chelsea mbona ilishindwa kuzibeba?????🤪🤪🤪🤪au haikuwepo?
Huwezi linganisha soka la kipindi kile na sasa,kipindi kile kulikuwa na ushindani wa kweli hasaaaa na soka safi la kiuanaume sio sasa hivi wapaka poda wamejaa na soka lilishaharibiwa na fwedhwaaaa....soka halina msisimko nowdays.......
Mtu anascore anashangilia weeeeeeeeeee..... then anakuja kuambiwa sio goli ananuna
![]()
Ambacho hujaelewa nini mkuu?Hiki kibabu uzee unampa shida na ana tatizo...hivi hata msimamo wa ligi ameuona kweli
Kocha wa ufaransa amesema not serious injuryN'Golo Kante Injured Again
The midfielder suffered an injury ahead of kick-off in Reykjavik, meaning Les Bleus had to make a late change to their starting XI against Iceland
Mpaka taarifa ya madaktari itoke. Kumbuka hata Emerson ilikua ivyo ivyoKocha wa ufaransa amesema not serious injury
Hapo tunauza Barkley then tuna promote huyu dogo.Conor Gallagher future Chelsea legend
Chelsea fan and player since he was 8yo
Goal scoring midfielder just like Lampard
Totte huwa wanauza players wao gharama sana. Ndo maana unaona akina Harry Kane hawanunuliki.January kama rufaa yetu itakubaliwa, Tunauza Barkley tunamnunua Eriksen wa Tote ( Eriksen + Joginho + Kante ) Hizo pass hapo katikati sio za dunia hii
![]()
Atakuja kuziba nafasi za kina Mount na RLC halafu hata ivyo yule kumpata ni kazi sana wacha aendelee kubaki hukohuko.January kama rufaa yetu itakubaliwa, Tunauza Barkley tunamnunua Eriksen wa Tote ( Eriksen + Joginho + Kante ) Hizo pass hapo katikati sio za dunia hii
![]()
tuache kumkosea heshima willianHizi ni Rumors tuu ila najiuliza kwa mfano ikatokea paaap akatua darajani atashine kweli? Ampige willan bench?View attachment 1230529
Hawezi kupata namba over Lampard's reignHizi ni Rumors tuu ila najiuliza kwa mfano ikatokea paaap akatua darajani atashine kweli? Ampige willan bench?View attachment 1230529
