DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Kama mtu 98 ulianglia kombe la dunia t, but I still unaongea mawazo ya kitoto there is something wrong in ur brain,
Hahaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitoe povu dogo...hebu weka wewe hayo mawazo ya kikubwa tuone kama kuna kitu kipo sawa katika ubongo wako[emoji41][emoji41][emoji41]
Vitoto vya chelsea bwana.....yaani vikishindwa hoja vinaattack personelly.......
Tunawapa changamoto mujifunze uvumilivu,sio timu ikiwa katika mpito mnakimbia[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️munahamia timu nyingine,kama rafiki yangu @southernhighland[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji1322]♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]