Ushabiki uwe na mipaka wazee.
Tunaelewa mtu huvutia kwake.
Ila kweli kabisa unawafananisha Mane, Salah na Firmino na Tammy na Mount? Hua unaangalia games zenu? Tammy kukosa magoli yeye na kipa siyo jambo la ajabu, sawasawa na Rashford (Hapa utasema Salah pia mechi iliyopita alikosa goli yeye na kipa, lakini ilikua ni nafasi hiyo tu haikujirudia tena) ila Tammy na Tashhford kukosa magoli ni sehemu yao ya kazi.
Hiyo idadi ya mabao haifichi ukweli kua Mane wenzie wakiwa kwenye 18 ni tishio. Mechi ya mwisho mnashinda goli nne, Tammy aliscore, lakini vile ndiyo striker anascore? Pure luck, no skills, technic nothing..
Usiwashushie heshima yao wakina Mane.