Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

NEYMAR aje Chelsea??? yaani Hazard anaikimbia timu ndogo leo Neymar Jr ndio aje hapo ???

Nlijua vituko vimeisha duniani kumbe bado vipo.Haahaaha!
Mzee umekurupuka, umekurupushwa na mihemko inakuendesha. Rudia kusoma nilicho andika
 
Mbona hamjibu hoja sasa mkuu ??? Hujaona hayo maswal hapo maan majibu yenu yapo hapo mkuu kwenye hayo maswal kama utayajibu na ndipo utajua kua chelsea ni katimu pale ENGLAND na sio mnavyoipaisha
Nyuma ya 2005 timu ilikua EPL, Mashabiki wake tulikuwepo hapa Tanzania na Africa nzima. Some questions lol!!

Hoja yako sasa iko wap hapo?
 
Kitimu kilichochipukia 2005 sio kwamba kilianzishwa 2005 kilikuwepo kitambo huko sema kuanzia mwaka 2004 kurud nyuma kilikuwa kama unavyoiona Norwich city ya leo....
Nyie mmeanza kuifatilia miaka hiyo unasema kimechipukia miaka hiyo kwa sababu ndio miaka umeanza kufungua ubonho kuuelewa mpira au mijadala ulikuta imeandika na wewe ukaunga nayo. SMH!!
 
Imeanza au ndo ilipata nguvu?? embu acha uongo kwamb chelsea ilianzishwa mwaka2005????
Nimeweka mtego na ukaingia kingi. Kumbe Chelsea haikuanza 2005!! Hapa ndipo story inakoanzia
 
Mbona hamjibu hoja sasa mkuu ??? Hujaona hayo maswal hapo maan majibu yenu yapo hapo mkuu kwenye hayo maswal kama utayajibu na ndipo utajua kua chelsea ni katimu pale ENGLAND na sio mnavyoipaisha
Mtego mnaingiua wenyewe kizobazoba
 
Kitimu kilichochipukia 2005 sio kwamba kilianzishwa 2005 kilikuwepo kitambo huko sema kuanzia mwaka 2004 kurud nyuma kilikuwa kama unavyoiona Norwich city ya leo....
Nyie hamtumii ubongo kwenye kufikiri, nyie nyie ndio mlisema ilianzishwa 2005 SASA mumebadili gia kuwa imechipukia. Keywords mtabnadilisha sana ila tu hamjui kufikiri kabisa
 
Imeanza au ndo ilipata nguvu?? embu acha uongo kwamb chelsea ilianzishwa mwaka2005???? Na kama ndo hivyo embu nisaidie haya maswali
1. nyuma ya 2005 timu ilikuwa wp??
2. Washabik wake tanzania mlikuwa wap??au ndo mlikuwa washabik wa newcastle au mlikuwa hamjui hata maan ya EPL Kbs?? Maan nakumbuka huyo mrusi alinunuaga mpk washabiki wakat kaichukua hiyo timu.
Aiseeee! kumbe walinunua hadi washabiki, ni hatari sana.

Hahaaahahahahah!
 
Nyuma ya 2005 timu ilikua EPL, Mashabiki wake tulikuwepo hapa Tanzania na Africa nzima. Some questions lol!!

Hoja yako sasa iko wap hapo?
Nyinyi vishabiki vya chel hamna tofauti na washabiki wa Azam fc ,Gwambina fc kibongobongo ni makapi ya washabiki wa timu flani wasio na msimamo ambao timu zao zipo ktk kipindi cha mpito,usitufanganye hapa wote ni watu wazima
 
Nyie hamtumii ubongo kwenye kufikiri, nyie nyie ndio mlisema ilianzishwa 2005 SASA mumebadili gia kuwa imechipukia. Keywords mtabnadilisha sana ila tu hamjui kufikiri kabisa
Tatizo lenu nyinyi hamjui kuchanganua mambo,ni pale unapojua unaongea na muelewa kumbe........jiongeze na uchangamshe akili yako mkuu
 
Timu ina makombe ya ligi matano ukitoa haya ya kipindi cha hivi karibuni ( conte na Mourinho) yanabaki matatu.

Please guys, put some respect to your elders.Mkubwa ni mkubwa tu No matter what.

Mrusi mwenyewe anayajua haya, ndio maana his first move ilikuwa ni kununua kwanza Ma-fans, kwa mujibu wa jamaa hapo juu, Hahaahahaha!
 
Arsenal ana uefa na europa ngapi mbn hamnjb swali langu kama mkishndwa kujb msiwe mnabshana na chelsea katafute wa size yako huko akn newcastle blackburn wolves na wengneo
 
Ulikuwa shabik wa chel kwel mkuu au kunatimu ulitandika daruga before?
Nyinyi vishabiki vya chel hamna tofauti na washabiki wa Azam fc ,Gwambina fc kibongobongo ni makapi ya washabiki wa timu flani wasio na msimamo ambao timu zao zipo ktk kipindi cha mpito,usitufanganye hapa wote ni watu wazima
Na ndio maan wanayapita yale maswal pale juu mkuu hivyo bas hawa ni timu ya mkumbo tu hap bongo , ni kam sasa hiv unakuta mtu mzima miaka ya kutosha anajiita yy shabik wa city , ukimuuliza kaanza kushabikia city ln ndo kizaa zaa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom