Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Wakuu habari za Neymar zipuuzwe hawa The sun wanafanya biashara tu. Hatutaki watu wa kuja kuspoil vijana wetu.
Mtoto wa 2005. Ameshudia timu yake ikishinda mataji ya
Epl 5
UEFA Champion 1
Uropa Champion 2
FA Cup 8
Carabao Cup 5
Wewe mzeee wa 90s umeshudia Kimoja 1 kama sijakosea.
So kati ya mtoto na Mzee nani anamafanikio makubwa?
Mzee aliwekeza kwenye ulevi tu
[emoji106][emoji106][emoji106] london is blueWakuu tuendelee kuonyesha hali ya kuvumiliana tena sana ni utanzania huo dharau, majigambo, kebehi ziishie person level .natoa mfano " wewe Lukub mjinga Kweli... Usimtukanie wazazi wake watoto, tusiende family level, tukumbuke wana Chelsea wenzangu wageni wanaokuja humu wanaona timu inafanya vizuri ,tukiwa na hali mbaya wangekuja kutoa pole bila hata majigambo .Matusi yakitaradadi tutasoma tu bila comment yoyote. Blue is the colour
Kwel kbx yan nawaonea huruma sana mashabk wa arsenal wao tangia tmu ianzshwe haijawah kuchukua UEFA then bado wanaendelea kubishana na wakubwa zao hawaoni hata aibuTUNAFANYA MAKOSA SANA KUBISHANA NA MASHABIKI WA ARSENAL SIO LEVEL YETU KABISA
TUBISHANE NA MASHABIKI WA LIVERPOOL, BARCA, MADRID, MAN U, JUVE TUNAOFANANA KWENYE LEVEL ZA KUBEBA KOMBE UEFA CHAMPION.
MASHABIKI WA ARSENAL WANATUSHUSHIA HESHIMA NA TUNAPOTEZA MUDA HATUNA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWAO, ZAIDI YA KUTUAMBUKIZA UZUMBUKUKU NA FAILURES.
NAOMBA TUWAPUUZE KABISA.
ndio maana mnaambiwa kuwa akili zenu fupi,sasa kusanya mataji ya Chelsea yote then uje kucompare na hizo timu unazoziita za wazee...chelsea haina tofauti kubwa na kina aston villa na blackburn rovers...ukweli mchungu ila haina namna,Mtoto wa 2005. Ameshudia timu yake ikishinda mataji ya
Epl 5
UEFA Champion 1
Uropa Champion 2
FA Cup 8
Carabao Cup 5
Wewe mzeee wa 90s umeshudia Kimoja 1 kama sijakosea.
So kati ya mtoto na Mzee nani anamafanikio makubwa?
Mzee aliwekeza kwenye ulevi tu
Akikujibu nitagndio maana mnaambiwa kuwa akili zenu fupi,sasa kusanya mataji ya Chelsea yote then uje kucompare na hizo timu unazoziita za wazee...chelsea haina tofauti kubwa na kina aston villa na blackburn rovers...ukweli mchungu ila haina namna,
usikimbie nakusubiri hapa.....
toka hiki kitimu kianzishwe kimekusanya makombe mangapi?hebu weka hapa tufanye comparison sio kubwabwaja tu,usijilinganishe na kina liverpool wakati wenzio ni timu kubwa ina makombe ya ligi kuu takribani 18 wewe una vitatu sijui vinne unakuja kupiga kelele hapa shubamitt wewe ni kina bolton wenderes huko ndio size yakoKwel kbx yan nawaonea huruma sana mashabk wa arsenal wao tangia tmu ianzshwe haijawah kuchukua UEFA then bado wanaendelea kubishana na wakubwa zao hawaoni hata aibu
mwenzio ana 18 katulia wewe una vi5 unapiga kelele aiseeeeeeeeeehhhhh kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya chelsea....Umesahau na wazee wa liver since 1989/1990 hawajawahi kubeba ndoo ya epl mpk sasa
Hatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tutoka hiki kitimu kianzishwe kimekusanya makombe mangapi?hebu weka hapa tufanye comparison sio kubwabwaja tu,usijilinganishe na kina liverpool wakati wenzio ni timu kubwa ina makombe ya ligi kuu takribani 18 wewe una vitatu sijui vinne unakuja kupiga kelele hapa shubamitt wewe ni kina bolton wenderes huko ndio size yako
Tatizo vinakujaga hovyohovyo tu bila takwimu,na hapa hii comment yako wanaichungulia kwa jicho moja wanakimbia hahahahahahahahahahha safi sana mkuu hawa wakae vizuri maana ASTON VILLA wanakuja kwa kasi ya ajabuHatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji
Inaogopesha sana yaan aston villa pamoja na kushuka daraja kaizidi mataji ma4 tuu hahahahahaTatizo vinakujaga hovyohovyo tu bila takwimu,na hapa hii comment yako wanaichungulia kwa jicho moja wanakimbia hahahahahahahahahahha safi sana mkuu hawa wakae vizuri maana ASTON VILLA wanakuja kwa kasi ya ajabu
Hata mimi nilimsoma huyo jamaa akieleza kuwa ni Winks na Jorginho ndio waliompa tabu walipocheza na timu zaoJames Maddison commentView attachment 1227395
Livewrpool, Arsenal na Aston Villa ni vilabu vya historia, sisi Chelsea ni timu ya sasa hivi, we do not belong to the pastHatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji
Naomba uende mbali Zaidi na utuelezee hayo makombe yalipatikana kwa muda gani? halafu pia utupe trophy per season, ukishindwa hayo mahesabu nyamaza milele usituletee historia hapaHatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji
Tuwekee na za uefa tumtafute arsenalTatizo vinakujaga hovyohovyo tu bila takwimu,na hapa hii comment yako wanaichungulia kwa jicho moja wanakimbia hahahahahahahahahahha safi sana mkuu hawa wakae vizuri maana ASTON VILLA wanakuja kwa kasi ya ajabu
Imeanza au ndo ilipata nguvu?? embu acha uongo kwamb chelsea ilianzishwa mwaka2005???? Na kama ndo hivyo embu nisaidie haya maswaliNaomba uende mbali Zaidi na utuelezee hayo makombe yalipatikana kwa muda gani? halafu pia utupe trophy per season, ukishindwa hayo mahesabu nyamaza milele usituletee historia hapa
Chelsea imeanza tu 2005, 14 years na ina makombe 21 je ingeanza 1900 ingekuwa na makombe mangapi?
Mkuu nadhani pia unasahau maana ya past , maan hayo makombe pia ulioyachukua( exclude europa ya mwaka huu ) ni past sasa sijui unamaanisha past ipi?Livewrpool, Arsenal na Aston Villa ni vilabu vya historia, sisi Chelsea ni timu ya sasa hivi, we do not belong to the past
Chelsea doesn't belong to the past and it will never be a museum football club.Hatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji
Ni aibu kubwa kufikiri Astonvilla atamzidi Chelsea wakati ndani ya miaka mitano Chelsea anayokawaida ya kukusanya vikombe 3,wakati arsenal kasimama na huu ndio ukweli.Niongeze Sauti?Hatokujibu mkuu ngoja nimsaidie tu
Here are the top five most successful
clubs in English football history.
1. Liverpool - 42 Trophies.
2. Manchester United - 42
Trophies. ...
3. Arsenal - 30 Trophies. ...
4. Chelsea - 24 Trophies. ...
5. Aston Villa - 20 Trophies. ...
Hivyo bas huyo akikaa hovyo hata aston villa itamzid kwa mataji