kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,688
Unaleta mataji ya kizamani enzi zile kukiwa hamnaga cha offside?ndio maana mnaambiwa kuwa akili zenu fupi,sasa kusanya mataji ya Chelsea yote then uje kucompare na hizo timu unazoziita za wazee...chelsea haina tofauti kubwa na kina aston villa na blackburn rovers...ukweli mchungu ila haina namna,
usikimbie nakusubiri hapa.....
