Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
bado natafakari Kwanini huyu mwamba anapendwa sana na makocha pia na wachezaji,wakati mashabiki wengi hawamuelewi, nikagundua huyu jamaa hakai na mpira anauamisha unapotakiwa kwenda kila ukifika miguuni Kiufupi ni Laboratory technicianJames Maddison commentView attachment 1227395