Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa mechi ya leo naona Odoi anakuwa bora zaidi akiwa sub,
Pulisic bado hana stamina pamoja na kutoa assists nzuri sana
Leo Tomori kidogo atulize ila bado haimwondolei kuwa ni beki bora
 
Uyo arsenal tunamwesabia mechi..
hahahha kwa sababu ya kuifunga timu dhaifu ambayo ilicheza na spurz ambayo ipo mahututi na ikashindwa kupata hata sare licha ya kwamba walikuwa pungufu....hahahahahahaha

wewe tunakuhesabia mechi tu,
 
hahahha kwa sababu ya kuifunga timu dhaifu ambayo ilicheza na spurz ambayo ipo mahututi na ikashindwa kupata hata sare licha ya kwamba walikuwa pungufu....hahahahahahaha

wewe tunakuhesabia mechi tu,
wolves ni dhaifu Kweli walifungwa 5-2 na Chelsea, wakamfunga Man city 2-0 Kweli wolves ni dhaifu,wanalingana na Soton ambao wamefungwa 4-1 na Chelsea lakini walifungwa na Liverpool 2-1.😀😀😀😀😀bado naona maajabu. Asante Chelsea kwa ushindi mnono
 
subiri kidogo mkuu nina kikao na big4 wenzangu,nitarudi

mind the gap
 
Kweli Jorginho anastahili kuwa Captain, lile goli la nne yeye ndie alianzisha move kwa kuwashinikiza wenzake wachangamke na kuwa tayari kupokea pasi yake baada ya wachezaji wa Chelsea kuonekana wamezubaa ndipo kwa haraka Jorgninho akampasia nadhani Batshuayi ambaye naye alimpa mpira Pulisic kabla ya Pulisic hajauchop mpira mbele kwa Batshuayi tena
 
Players rating Chelsea vs Southampton
  1. Kepa Arrizabalaga 5
  2. Cesar Azpilicueta 6
  3. Kurt Zouma 7
  4. Fikayo Tomori 5
  5. Marcos Alonso 6
  6. N'Golo Kante 8
  7. Jorginho 9
  8. Mason Mount 7
  9. Willian 8
  10. Callum Hudson-Odoi 8
  11. Tammy Abraham 7
Subs:
  1. Mateo Kovacic 5
  2. Christian Pulisic 6
  3. Michy Batshuayi 6
 
Hata kwa Wolves ulisema hivyo. Kwa hiyo nyinyi lazima tuwachukulie mlivyo. Mko desperate
hahahha kwa sababu ya kuifunga timu dhaifu ambayo ilicheza na spurz ambayo ipo mahututi na ikashindwa kupata hata sare licha ya kwamba walikuwa pungufu....hahahahahahaha

wewe tunakuhesabia mechi tu,
 
Ujuba unakusumbua Willian kacheza World Cup ,sio copa amerca tu, hiyo inatosha kukuonyesha ni mwamba kuliko wachezaji wako wote hapo ,ruka ruka tu tutaenda Sawa
Hata Giroud ni mzuri kuliko Aubameyang kwani yeye kacheza World cup wakati Aubameyang timu yake ilishindwa hata kufuzu AFCON.
 
Lallana anacheza nafas gani Liverpool? Maana inaonekana hujui hata unachoongea
Umeongea au umelewa ww kama hujui tangu lallana kaja LFC kacheza namba nying nazo ni 6,7,8,10,11 acha kukarii mamipira ya zaman ambayo hata rotation kulikuwa hakuna
 
Liverpool wapuuzi kweli kweli

Liverpool fans want Adama Traore statue outside Anfield after Manchester City defeat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom