Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

chelseafc-20191006-0002.jpg

Chama kubwa 4 goals and 3 points🔥🔥
 
Niliwahi kusema ile siku ya mechi yetu na Man Utd kua bora Chelsea wanaonesha kua na plan kuliko Man Utd wanaojigonga tu alafu wakatufunga. Wadau wa utd Wakasema kua plan gani bila kushinda? leo hawaonekani ata ndani ya 12. Chelsea kwa plan yao wanaitaji tu bahati ili wachukue kombe.
 
For wins in a row, what a performance from the lads... Off to INTERNATIONAL break with a big win [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Kama upo kwa mama siwema agiza chochote kamanda we ni ginious
Chelsea kwa makelele bhanaView attachment 1223321
maajabu unataja wachezaji ambao hata kuitwa team ya taifa Ndoto, Tomori kaitwa national team kwa mechi nne tu huyo holding yupo yupo tu ni wa nchi ipi Kwanini asiitwe? , kepa anadaka Spain ulishasikia Leno akidaka German, azpiculeta anacheza Spain huyo Hector ni wa nchi gani? ,Barkley na ujinga wake anatamba England ya Southgate
huyo ceballos umemuona akitamba Spain? Vipi William? Lazima umkute Brazil, sijamtaja Emerson, Jorgihno, Kante, Rudiga ,Giroud first eleven mataifa yao, Kuna wachezaji na vichezaji,usifananishe wachezaji wa Chelsea na vichezaji vya Arsenal,[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom