Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Kuna ukweli gani aliondika hapo?Ukweli mchungu, uongo mtamu, huu ujumbe watau SKIP sana tu!
Mtu asiyejua ceballos anacheza spain ni wakubishana nae?
Mtu asiyejua ROB na HECTOR wamekaa injury mwaka mzima bado anataka waitwe National team, anajua mpira kweli huyo?
Giroud ni mchezaji wa kumsifia mbele ya straika za Arsenal eti kisa anaitwa National team, hata kwa Martinelli hafiki.
Amemuongelea Willian, Ni nani asiyejua Copa America aliitwa baada ya injury ya Neymar??


