DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Wewe hujielewi, kwahiyo mara paaaaahhhh Tanzania imeingia WC hivyo Mkude atakuwa bora kuliko Joginho,Manula atakuwa zaidi ya Kepa,na huyo Tomori wako atasubiri sana kwa Yondani,Ujuba unakusumbua Willian kacheza World Cup ,sio copa amerca tu, hiyo inatosha kukuonyesha ni mwamba kuliko wachezaji wako wote hapo ,ruka ruka tu tutaenda Sawa
Kwahiyo wachezaji ambao hawajacheza kombe la dunia ni wabovu?????hahahahah
Jiongeze basi kidogo kwa hizi hoja zako wenzio wanahisi aibu.....unawadharirisha.

