Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA star Willian is wanted by his former boss Maurizio Sarri for a reunion at Juventus.
Barcelona also want the service of the Brazilian at Camp Nou and it is believe that the Spain giant are able to offer more salary than the Italian giant
 
Beki gani uliyonayo inaweza kumnyima namba Tomori? Nitajie fullback wa maana anaweza kuwaweka nje Azpi na Emerson au Alonso? Kuwa honest mkuu
Katika HOLDING mmoja Kuna hao kina Tomori kumi,

Azpilicueta hata robo ya Hector hajafikia,

Alonso wakiwa 20 ndio sawa na KIERAN TIERNEY 1,

KEPA 7 sawa na LENO1,

kina Barkley 50 unapata CEBALLOS 1,

Abraham 15 unapata AUBAMEYANG 1,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This is not Disney Land bro
 
Jorg is our new vice captain
IMG_20191004_164502.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This is not Disney Land bro
sasa unataka tukuamini wewe ukisema MORINGA ni zaidi ya AGUERO tuseme ndioooooooooooooooo......hahahhah hapana bro wewe amini unachokiamini ila kiukweli huyo Tomori ameachwa mbali sanaaaaaaaaaa na ROB HOLDING,na hata zikipigwa kura za watu walio neutral ukweli utakuwa hivyo amini.....
 
Na hapo ndipo unapokosea. Tomori haitaji kura ili kudhibitisha ubora wake. Yeye kazi anayoifanya uwanjani ndo inafaa kumtetea. Tuache takwimu ziwatetee wachezaji.
sasa unataka tukuamini wewe ukisema MORINGA ni zaidi ya AGUERO tuseme ndioooooooooooooooo......hahahhah hapana bro wewe amini unachokiamini ila kiukweli huyo Tomori ameachwa mbali sanaaaaaaaaaa na ROB HOLDING,na hata zikipigwa kura za watu walio neutral ukweli utakuwa hivyo amini.....
 
Chelsea ina competitive players sio kama Arsenal. Piulisic angekuwa kwenu ndie angekuwa star wenu na kila mechi angecheza na ndio maana scrap kama Luiz aliyekosa namba huku nyie ndio tegemeo lenu. Hii ndio tofauti ya Chelsea na Arsenal

Umempa jibu la uhakika. Tho ni mbishi na haelewi naamini atarudi tena kubishia
 
Hahahaha sisi tukirud uko wewe ci unashuka daraja hahaha hii Man u kwa sasa haina tafauti na Sunderland au Bolton uko ...yani kama bado mnamtegemea Rashid na lingard ndo walete majaabu apo OT aise mtangoja sana....

Iyo timu yen ina wachezaji kama sio wawili basi ni watatu/nne ivi ..waliobaki wote ni wachumia tumbo ..wanapaswa kushitakiwa au kutupwa jela moja kwa moja..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]

Kila la kheri chelsea. Blue foreva
 
Katika HOLDING mmoja Kuna hao kina Tomori kumi,

Azpilicueta hata robo ya Hector hajafikia,

Alonso wakiwa 20 ndio sawa na KIERAN TIERNEY 1,

KEPA 7 sawa na LENO1,

kina Barkley 50 unapata CEBALLOS 1,

Abraham 15 unapata AUBAMEYANG 1,
Ukisikia akili butu ndiyo, hii sasa..
 
Katika HOLDING mmoja Kuna hao kina Tomori kumi,

Azpilicueta hata robo ya Hector hajafikia,

Alonso wakiwa 20 ndio sawa na KIERAN TIERNEY 1,

KEPA 7 sawa na LENO1,

kina Barkley 50 unapata CEBALLOS 1,

Abraham 15 unapata AUBAMEYANG 1,

Akili za watu wa asernal bana kama za kuku wa kisasa muda wote ni kushikishwa tu
 
sasa unataka tukuamini wewe ukisema MORINGA ni zaidi ya AGUERO tuseme ndioooooooooooooooo......hahahhah hapana bro wewe amini unachokiamini ila kiukweli huyo Tomori ameachwa mbali sanaaaaaaaaaa na ROB HOLDING,na hata zikipigwa kura za watu walio neutral ukweli utakuwa hivyo amini.....
Uyo uyo Tomori akija arsenal utaanza kumsifia na stats za kutosha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom