DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
na ndio maana wewe unamsifia leo hii kwakuwa yupo hapa Chelsea,maana hata Luiz pia ulikuwa mnamsifia ila alivyokuja Arsenal amekuwa sio mchezaji tena hahahahahh,huyu PEPE mnaomponda leo angekuwa amesinya hapo kwenu leo hii mngekuwa mnacreate hoja kibao za kumdefendUyo uyo Tomori akija arsenal utaanza kumsifia na stats za kutosha..
