Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nicolas Pèpé:

-1 goal
-2 assists
-Starts consistently for Arsenal
-MOTM once
-Admittedly still settling in

Christian Pulisic:

-0 goals
-3 assists
-Hardly used by Chelsea
-Looks bang average
-Doesn’t start ahead of Willian

Now you guess who’s been called a flop.
Chelsea ina competitive players sio kama Arsenal. Piulisic angekuwa kwenu ndie angekuwa star wenu na kila mechi angecheza na ndio maana scrap kama Luiz aliyekosa namba huku nyie ndio tegemeo lenu. Hii ndio tofauti ya Chelsea na Arsenal
 
Umemjibu jibu murua ambalo hakutegemea.
 
Timu yangu inacheza leo naona mgonjwa mwenzangu unataka kujua ratiba huku usikudharau umetobolea huku na bado ligi imekaa vibaya msimu ujao utarudi huku
Hahahaha sisi tukirud uko wewe ci unashuka daraja hahaha hii Man u kwa sasa haina tafauti na Sunderland au Bolton uko ...yani kama bado mnamtegemea Rashid na lingard ndo walete majaabu apo OT aise mtangoja sana....

Iyo timu yen ina wachezaji kama sio wawili basi ni watatu/nne ivi ..waliobaki wote ni wachumia tumbo ..wanapaswa kushitakiwa au kutupwa jela moja kwa moja..

Kila la kheri Chelsea
 
Pia Sarri alikuwa haweki ushindani kwa wachezaji, ukicheza vibaya namba unayo bado. Kwa Lampard, ukicheza vibaya hata mechi moja au mbili, wewe benchi linakusubiri. Barkley kakosea penalty moja tu sasa hivi hayuko tena kwenye orodha ya wapiga penalty. Lampard kasema mpiga penalty sasa hivi ni Jorginho
Hahaha mzee baba ataki utani ..anataka kutengeneza jina mjini..

Kila la kheri Chelsea
 
Chelsea ina competitive players sio kama Arsenal. Piulisic angekuwa kwenu ndie angekuwa star wenu na kila mechi angecheza na ndio maana scrap kama Luiz aliyekosa namba huku nyie ndio tegemeo lenu. Hii ndio tofauti ya Chelsea na Arsenal
Uyu anafananisha izo takataka zao na Chelsea players ..hii ni dhambi kubwa sana ..pale arsenal mchezaji pekee anayepata namba Chelsea ni Auba tu naona..

Duh povu zito
 
Uyu anafananisha izo takataka zao na Chelsea players ..hii ni dhambi kubwa sana ..pale arsenal mchezaji pekee anayepata namba Chelsea ni Auba tu naona..

Kila la kheri Chelsea
Aiseeeeehhhh hapo Chelsea ni kante pekee anayeweza kuingia ktk kikosi cha arsenal
 
Deschamps: "Lampard has asked me not to call Kanté, if that's still the way I'm going to call him later to tell him it would be nice if he plays Olivier Giroud a little bit more”

Toa maoni yako hapa
 
Deschamps: "Lampard has asked me not to call Kanté, if that's still the way I'm going to call him later to tell him it would be nice if he plays Olivier Giroud a little bit more”

Toa maoni yako hapa
Tunajua Abraham ni mchezaji mzuri lakini pia lampard anatakiwa ampe giroud hata baadhi ya game naungana na kocha wa ufaransa kwenye hili.
 
Beki gani uliyonayo inaweza kumnyima namba Tomori? Nitajie fullback wa maana anaweza kuwaweka nje Azpi na Emerson au Alonso? Kuwa honest mkuu
Una beki gan ya maana hasa ,kufananisha na hawa watoto watukutu

Huyo Alonso, au Emerson hata nusu kwa KT hawafiki

Chelsea kwa makelele bhana
now.arsenal-20190929-0001.jpeg
 
Rochdale AFC kikosi kizima kina thamani ya £2.23 mil. lakini Kimeruhusu goli moja(1) tu! old Trafford
.
Kepa tuliyemnunua kwa thamani ya £71.6 mil. alisokomezwa goli zake nne(4) safi! Old Trafford
.
Umegundua nini?
FB_IMG_1570180474765.jpeg
 
Aiseeeeehhhh hapo Chelsea ni kante pekee anayeweza kuingia ktk kikosi cha arsenal
Kama Luiz kaingia na akawa superstar, basi kila mchezaji hata wale wa kwenye bechi kamaa akina Pulisic watapata nafasi
 
Deschamps: "Lampard has asked me not to call Kanté, if that's still the way I'm going to call him later to tell him it would be nice if he plays Olivier Giroud a little bit more”

Toa maoni yako hapa
Haaa haaaa anadhani Lampard anampa mcheza muda kwa hisani ya...…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom