Game ijayo tuko na Ajax na wale madogo wanaeza kutumia mistakes zetu kutufanya mbayaKuna utoto uliofanyika zaidi ya mara 2 kwa beki na kipa, Lampard anatakiwa awafokee hawa madogo la sivyo laiti ingekuwa ni timu kubwa tungekula hata 3-2.
Hahaha yan tungefungwa leo ungeweka kambi humuhongereni kwa ushindi
siku zote ushindi wa away ni mtamu sana....
big up wadogo zetu wa london
Live match at www.beinmatch.comApp gani naweza angalia live hii gane
Timu yangu inacheza leo naona mgonjwa mwenzangu unataka kujua ratiba huku usikudharau umetobolea huku na bado ligi imekaa vibaya msimu ujao utarudi hukuWewe timu yako inacheza lini mkuu..
Sasa aiangalie live sasa hivi tena mkuu?Live match at www.beinmatch.com
Time will tell, kwa hili sitakubishia. Miaka 3 nyuma Chelsea was a better team than Liverpool and Man cityKwahiyo na ww kwa akili yako ukakaa na kuamini in two years to come Chelsea will be better in squad than City? ... hizo akili huwa mnaziweka wapi mzee?
Kawa fit wapi, wewe hata ufuatilii game za Chelsea, Pulisic akionyesha dalili Preaseason lakini ligi ilipoanza mechi zote alizocheza rating yake ilkikuwa very low. Mfano ile ya Carabao alikuwa wa mwisho kwa rating. Tutaendelea kumpa mechi ndogo ndogo mpaka awe fit. Asipoimprove tutampeleka under23 ili akapate fitness hukoMm nashangaa kwa nn Lampard hamuamini Pulisic yaani Odoi katoka majeruhi ya muda mrefu sasa hivi anapata dakika za kucheza tofauti na Pulisic aliyekua fit since pre season
Kawa fit wapi, wewe hata ufuatilii game za Chelsea, Pulisic akionyesha dalili Preaseason lakini ligi ilipoanza mechi zote alizocheza rating yake ilkikuwa very low. Mfano ile ya Carabao alikuwa wa mwisho kwa rating. Tutaendelea kumpa mechi ndogo ndogo mpaka awe fit. Asipoimprove tutampeleka under23 ili akapate fitness huko