Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_20191002_085736.jpeg
 
Maybe hujui historia ya timu yako mzee arsenal ashawai pigwa 8😱 ,kaitfute hio tena
Hebu itafute na ya Chelsea uiweke hapa maana wewe unaijua vizuri historia ya timu yako.......hahahahahaah
 
Jamaa kiingereza kinakupiga chenga. Jamaa amesema in 2/3 yrs to come...
Kwahiyo na ww kwa akili yako ukakaa na kuamini in two years to come Chelsea will be better in squad than City? ... hizo akili huwa mnaziweka wapi mzee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom