Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Miaka miwili mpaka mitatu ijayo yaweza kuwa timu ya ushindani ulaya kuliko sasa. Academy player, Thanks FIFA
Kila siku nawaambieni anayeipa heshima London ni Chelsea peke yake hao wengine wanachafua hali ya hewa tu. Mtu anakula 7 akiwa nyumbani. Daah
Ila kepa ndio kipa ghali lakini tumepigwa.......Tortoise amefungwa magoli mengi ndani ya mwaka mmoja kuliko Kaylor Navas alivyofungwa ndani ya miaka mitatu.
NyokaView attachment 1221260
Na wew umesahau nilikupiga 6:0Wewe mbona city alikuweka 6 o'clock?
Bournemouth akakushindilia 4,
So ukawa umekufa 10 buyu game mbili tu,acha kelele
Na wew umesahau nilikupiga 6:0
Acha mihemuko rudia kusoma tenaWewe mbona city alikuweka 6 o'clock?
Bournemouth akakushindilia 4,
So ukawa umekufa 10 buyu game mbili tu,acha kelele
Acha mihemuko rudia kusoma tena
Yan hata huelewi. Huyo Man alinifungia darajani?Mhemko upo wapi hapo?hill ni jibu murua kabisa
Umsehau na record yko ya kupigwa goli 8:2 na man uMimi nilikuzabua 5 tena hapohapo daraja la biskuti
Alafu hiki kidume chako nilikishindilia 5 buyu juzi .....hahahahaaaaaaaaView attachment 1221320
Sio tu kiingereza, hata context ya mada hajuiJamaa kiingereza kinakupiga chenga. Jamaa amesema in 2/3 yrs to come...
Hayo yalikuwa ni malipo ya Chelsea 6-0 Manchester City - October 2007Wewe tema mate chini mkuu,si ulikula 4G pale lakini au ndio ushajisahaulisha?
EPL ligi ya kibabe mno aiseeHuyu Higuain wa juve ni moto kila match anatupia. Yule higuain wa chelsea alikuwa usingizini.
Ila sijaona jamaa hajaelewa kipi,maana hajabisha maneno ya kiingereza ameongelea yale ya kiswahili ambayo hayakuhusish 2-3 yrs to come labda useme hajui kiswahili sasa.Sio tu kiingereza, hata context ya mada hajui
Nimekuelewa vizuri sanaaaaaaaaaa....Mimi nasema hivi kufungwa ni kufungwa Muraaaaa...Yan hata huelewi. Huyo Man alinifungia darajani?
Happy birthday to you Tammy Abraham #CFCView attachment 1221439
Wewe mbona uligongwa 8 - 1 nani afadhali hapo?Umsehau na record yko ya kupigwa goli 8:2 na man u
Na zile 5 nilikutwanga daraja LA biskuti?Hayo yalikuwa ni malipo ya Chelsea 6-0 Manchester City - October 2007
Chelsea 6-0 Arsenal - March 2014, hizi bado tunawadai