lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Kama kawaida yetu
Nafasi lukuki
Shots 17
On target 4
Wenzetu hawana hata short za pembeni hata moja halafu eti hatujafunga hata goli!
Mtaniambia Brighton wakipata short on target moja na itakuwa ndio goli, sijui hapo darajani waliweka nini mwaka huu