Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpige City tukuone kidume lakini wajanja wenzio wanaona gemu yetu ilikuwa nyepesi tu sababu ni kikosi B pia bado hakijazoeana sana.

Pili timu imejawa na majeruhi kibao, so weka akiba ya maneno ili uje uifunge Chelsea ikiwa haina sababu yoyote ile kujitetea lakini si sasa hivi.
Kwahyo mkuu, kwa mujibu wa reasoning yako, Liverpool imewaonea tu? Ukiwa na Kante, Azp, Alonso, Jorginho, Kovacic, Willian, tuache hao watoto ambao naona ndo your shield of excuses.
 
Kwa akili zako we unaonaje? Yani Chelsea iende kucheza na Reading FC ishinde 2-1 afu kwa akili za kuzaliwa kabisa nishangilie? Huo ni utoto sasa [emoji1787]
Kwahyo nyie mshakuaa a midtable team au sio? Ambayo ikifungwa ni kuonewa tu ila ikishinda ni best
 
Kwahyo nyie mshakuaa a midtable team au sio? Ambayo ikifungwa ni kuonewa tu ila ikishinda ni best
Hii hapa nukuu toka kwa wachambuzi wa mpira akina Viatu vya samaki kama unaona mi nakurupuka tu kueleza hapa sawa na wewe [emoji28]
Screenshot_20190922-220335.jpeg
 
Mpige City tukuone kidume lakini wajanja wenzio wanaona gemu yetu ilikuwa nyepesi tu sababu ni kikosi B pia bado hakijazoeana sana.

Pili timu imejawa na majeruhi kibao, so weka akiba ya maneno ili uje uifunge Chelsea ikiwa haina sababu yoyote ile kujitetea lakini si sasa hivi.
Wewe umekunywa Mataputapu nini,Hiki ni kikosi B
William
Kante
Jorginho
Kovaci can
Christensen
Kepa
Azpiculleta
Ni timu B hii acha Mataputapu kijana
 
Injuries are part of the game
 
Hunisumbuagi kabisa epl, dawa yako inachemka na wanzuki uliyokunywa, ngoja uje ukutwe na Bwana Pepsi raundi ya pili.

WUSIA:

Weka akiba ya maneno.

Tuombe uzima ili usije kuikimbia hii Chelsea uliyoifunga leo [emoji23]
Wewe umekunywa Mataputapu nini,Hiki ni kikosi B
William
Kante
Jorginho
Kovaci can
Christensen
Kepa
Azpiculleta
Ni timu B hii acha Mataputapu kijana
 
Chelsea leo walicheza vizuri sana
Mount na Tammya wana safari ndefu kuaj kuweza kucompete kwenye big matches
Academy aliyecheza vizuri leo ni Tomori tu, kamuweka Salah mfukoni kabisa mpaka Salah akakosa raha waziwazi
Zouma nae kucheza vizuri
Kila mchezaji kucheza vizuri

General low quality ya defense ndio iliruhusu magoli yale ya adhabu ila mimi sikuona error ya wazi ya mabeki au MF
Timu ikistabilize hivi hizi timu zingine ukiondoa Mancity na Liverpool tutazilipua bila chenga
 
Kwa akili zako we unaonaje? Yani Chelsea iende kucheza na Reading FC ishinde 2-1 afu kwa akili za kuzaliwa kabisa nishangilie? Huo ni utoto sasa [emoji1787]
Acha excuses za kishabiki tu mkuu Liverpool imeshazifunga team kubwa kibao tu zikiwa na kikosi kamili cha kwanza unaongea as if ukiwa na hao wachezaji LAZIMA utashinda.
Eti ikaifunge man city kwani haijawahi?Man city si alipigwa nje ndani UEFA huyo..na tena ndani ya siku chache alipigwa tena 4:3 kwenye league.
Liverpool kaifunga Bayern,Barca,PSG sasa Chelsea ndo useme wakiwa kamili ndio nini sasa...kwanza msimu uliopita tu mmefuliwa mkiwa kamili.
 
Chelsea leo walicheza vizuri sana
Mount na Tammya wana safari ndefu kuaj kuweza kucompete kwenye big matches
Academy aliyecheza vizuri leo ni Tomori tu, kamuweka Salah mfukoni kabisa mpaka Salah akakosa raha waziwazi
Zouma nae kucheza vizuri
Kila mchezaji kucheza vizuri

General low quality ya defense ndio iliruhusu magoli yale ya adhabu ila mimi sikuona error ya wazi ya mabeki au MF
Timu ikistabilize hivi hizi timu zingine ukiondoa Mancity na Liverpool tutazilipua bila chenga

Ndio mjipange sasa sio uyofoward wenu mechi moja tu akajiona drogba.

Utofauti wa chelsea na Liverpool mpaka sasa ni 10 point.nawakumbusha tu
 
Hii game ingekuwa Arsenal?
Ingekuwaje ?mm Liverpool kanifunga kwake , tena bado kocha alichangia kwa asilimia kubwa .....ingawa Liverpool wapo vzr

Kama bila upumbavu wa kocha ,sasa hivi tungekuwa tunafukuzana na Liverpool & city
 
Hii game ingekuwa Arsenal?
Arsenal kaingiaje hapo, pambana kivyako. Yaani upigwe wewe afu unaongelea timu zingine!!!

Namtabaki hivohivo mara injury, mara watoto hawajazoeana, mara usajili Haaahaha! wajanja wanatembea mbele.
 
Ndio mjipange sasa sio uyofoward wenu mechi moja tu akajiona drogba.

Utofauti wa chelsea na Liverpool mpaka sasa ni 10 point.nawakumbusha tu
Kumfananisha Tammy kama Drogba haina maana ni Drogba, hii ni lugha. kwa anavyocheza ni anaelekea kwenye level hiyo. Kushindwa kufunga mechi moja tu sio deal, bado anazo mechi nyingi mbele yake na atafunga sana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom