Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Zouma: "I always hear about Salah Firmino Mane deadly combination but I don't think they'll score a single goal against us"


Sisi ni nani tumbishie kamanda Zouma.
 
Mm bado nina iman na kocha pia anapitia kibindi kigumu kule kwa wenzetu wapo bize kutaka kumfukuza kocha
 
Tunavuna tulichokipanda,

Tupigwe tu ili tulete kocha wa maana na tumheshimu,

Haiwezekani tunaondoa makocha bora kabisa na kuwareplace na mwendawazimu Lampard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom