Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #34,821
Thubutuuu.haaaaa umenifurahisha sana. Ivi mara ya mwisho kubeba kikombe ilikuwa mwaka gani vile
Mara ya mwisho kuchukua kombe huu ulikuwa mwonekano wa Coutinho
Thubutuuu.haaaaa umenifurahisha sana. Ivi mara ya mwisho kubeba kikombe ilikuwa mwaka gani vile
Unajua watu hawakukosea kusema Maji hufata mkondo.
Conte sio kocha Mwenye kupenda vurugu au magomvi au bifu za kipuuzi. Sasa mkiwa na manager Wa hivyo lazima Ata nyie staff wake muwe hivyo.
Kuna kocha msaidizi Wa Barca alipigwa kibao na Mourinho....Ni kweli kabisa hapa unanikumbusha El Classico Mourinho akiwepo
sasaivi nafikiri huyo kocha ni marehemu baadae alipewa timu ya Barca akawa manager kamili. Mourinho akiwa anampiga kibao huyo mtu huku Pepe na Ramos wanapiga watu....
kuwazuia ilikua shida. Baada ya hapo Jose akatolewa ktk bench la ufundi akapandishwa juu ktk ngazi akakaa hapo chini ya ulinzi Wa askari wawili.Hapo kwa zouma & fabregas. Zouma hana match fitness, na huwezi muweka matic sub ukampanga fabregas ambaye ni mzito na hakabi inavotakiwa, utegemee pass zake za mwisho tu.Simba Na mkuki Hali hatari ndugu ,ndo ngao imara kweli ,EE westham
![]()
Uko sahihi kiongozi!Lkn mkuu Ata upande Wa Moses nao ulikua hivyo. Tena kuna wakati niliona km Moses na Alonso hawakupanda kabisa mbele na kufanya ile line ya mabeki kua na watu watano.
Conte anawazuia wasipande hawa jamaa hovyo ktk baadhi ya game hasa hizi game kubwa kubwa.
Unajua ukimtizama Conte utaona huyu kitu asichokipenda ni kupoteza na kwa huu mfumo wake yani unakua adjustable kutokana na nguvu ya adui alivyo. Adui akiwa na nguvu sn Basi unakuta goma liko solid defensive hapo back line lazima iwe 5-4-1 na adui aikiwa legelege Basi huko mbele kutakua 3-2-5. Yani iko ki defensive sn maana.Uko sahihi kiongozi!
Wachezaji hufuata maelekezo ya kocha wawapo uwanjani
Safari hii atalia yeye.Tony Pulis...huyu jamaa misimu iliyopita amewahi kutuliza sana huyu!!!
Km hii ya Costa imekua siku nyingi sn akitembea kwa hati hati ya kadi ya 5. Nakumbuka ni kabla ya kuwakabili Spurs. Ila jamaa ana nidhamu sn siku hizi.Diego Costa na David Luiz wana four yellow cards any cards next game means suspension
Willian anaweza hiyo kz lkn tutakua hatuna Sub kwa Pedro au Hazard.Hivi wakuu mosses akienda Africa cup of nation January nani ataziba pale?
Kuhusu Mosses usiwe na shaka. Willy yupo na kurt zouma nae anaendelea kucaver vizuri.Hivi wakuu mosses akienda Africa cup of nation January nani ataziba pale?
Umenena vema Ntuzu.Unajua ukimtizama Conte utaona huyu kitu asichokipenda ni kupoteza na kwa huu mfumo wake yani unakua adjustable kutokana na nguvu ya adui alivyo. Adui akiwa na nguvu sn Basi unakuta goma liko solid defensive hapo back line lazima iwe 5-4-1 na adui aikiwa legelege Basi huko mbele kutakua 3-2-5. Yani iko ki defensive sn maana.
Moses hata kuja africa kisa team yao hakufuzuHivi wakuu mosses akienda Africa cup of nation January nani ataziba pale?