Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyota wa West Ham Antonio:

"Kinachoshangaza ni kwamba kuna bosi mmoja [Pochettino] anajitokeza na kusema Cole Palmer FC, halafu anapokea kipigo cha bao 5-0, huwezi kuandika vizuri zaidi ya hapo."

Mchezaji wa Fulham Cairney:

"Ninashangaa yeye [Pochettino] alisema kwamba [Cole Palmer FC] katika hotuba yake ya kabla ya mechi hata hivyo sio sawa. Je sisi ni Cole Palmer FC? Sidhani kama unaweza kusema hivyo hata hivyo. Sidhani kama nimewahi kumsikia Pep akisema alipokuwa na Messi, sisi ni timu ya Messi.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Yaani mkuu kila siku unamnanga tu Poche
Yaani kipochi hapumui aisee😂

Mimi nipo na Liver Mkuu,
Karibu tuwe wote Liverpool.
Natamani nianze kukunanga ila sina taarifa zako hata chembe
Nione basi hata inbox nikufahamu zaidi
 
Natamani nianze kukunanga ila sina taarifa zako hata chembe
Nione basi hata inbox nikufahamu zaidi
Taarifa zangu ni kwamba Liverpool tuna Carabao cup hadi muda huu ambapo hadi sasa hakuna timu nyingine ina kikombe mkononi.
 
Hadi sasa tunazo 47
Tumebakiwa na mechi 6
Wewe unafikiri tunapata ngapi hapa
  1. Aston vila L-0
  2. Spurs L-0
  3. Westham D-1
  4. Forest W-3
  5. Brighton W-3
  6. Bounrnemouth D-1
Total pts = 8
Gradfntotal pts = 55
Postion = 8
Piga makofi kwa Pochettino

1714129733049.png
 
Benzema alipoteza idadi kubwa ya nafasi nyeti akiwa Real Madrid lakini baadaye akawa sio tu mshambuliaji wa kutegemewa, katika timu ya Real Madrid bali pia mshambuliaji wa kiwango cha dunia aliyeshinda tuzo ya kifahari ya Balon D'Or.

1714130913557.png
 
TETESI ZA SASA HIVI:
Chelsea imeamua kuachana na ile "sera yake ya kijinga ya uhamisho wa vitoto chini ya miaka 25 (U25)" na wanataka kubalance kikosi katika majira ya joto. [Simon Philips]

Hii ni habari ni njema kabisa, Chelsea inahitaji viongozi wenye uzoefu zaidi dressing room. Tukifanikiwa kuwasajili wachezaji watatu wenye umri wa kati ya 25 hadi 30 na wenye uzoefu wa EPL, basi tutafanya vizuri sana msimu ujao

Wachezaji wanaotakiwa ni kama:
  1. Jaren Bowen (27)
  2. Alphonso Davies (23)
  3. Jonathan David (24)
 
Mada ilikuwa masimango yako dhidi ya Mtaalam Poche
YES, ila nikaona sasa nikuanze wewe kama wewe ila mambo yako siyajui, natamani uniinbox hata mambo yako binafsi
Je umeolewa, una watoto wangapi, unapendelea nini, unalala saa ngapi, unaishi wapi NK. Haya mambo huwezi nipa hapa utanangwa na wengi
 
YES, ila nikaona sasa nikuanze wewe kama wewe ila mambo yako siyajui, natamani uniinbox hata mambo yako binafsi
Je umeolewa, una watoto wangapi, unapendelea nini, unalala saa ngapi, unaishi wapi NK. Haya mambo huwezi nipa hapa utanangwa na wengi
Kunangwa siogopi
Nipo maporini huku Mkuu nanjilinji

Watoto wengi ninao,
Na member wengi humu ni umri wa wanangu...ni shangazi,nalala muda wowote nikiamua.

Mimi natwanga ugali asubuhi mchana na usiku.

Haya,,,kwako ustaadh lembu.
Mwaga yako sasa,hata pm yamwage tu.
 
Kunangwa siogopi
Nipo maporini huku Mkuu nanjilinji

Watoto wengi ninao,
Na member wengi humu ni umri wa wanangu...ni shangazi,nalala muda wowote nikiamua.

Mimi natwanga ugali asubuhi mchana na usiku.

Haya,,,kwako ustaadh lembu.
Mwaga yako sasa,hata pm yamwage tu.
Sikutaka hapa maana hadithi ikiendelea sana watoto waliomo humu hawatakiwi kuisoma we shangazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom