Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea Europa

Hilo kund lina vichaa watupu

Lille sio kilaza kama wengi mnavyodhani
Sisi tukija huko tunachukua kombe endelea kuomba tuwe wa mwisho hatuna mchezo na europa unatujua vizuri
 
Sawa Shehe Yahaya lakini nakukumbusha tu kuwa mimi ndiye Mume wenu mwenye mwali(kombe) la Europa [emoji16]
Hili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea Europa

Hilo kund lina vichaa watupu

Lille sio kilaza kama wengi mnavyodhani
 
Ndio nashangaa maajabu mpya angekosa jorgihno au Willian tungeona kawaida maana ndio wapiga penalty, hilo li Barckely sijui limetoka wapi
Mkuu humpendi kweli Bakelei [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UEFA na Europa mwaka huu sio kama mwaka jana kwa timu za EPL
Ngoja tusubiri ya kesho
 
Dk 1 baada ya Zouma kutolewa na kuingizwa Giroud, Chelsea wanafungwa
Dk za lala salama Chelsea wanapata penalty halafu mtu asiyeserious Barkley anagh'agh'ania kupiga penalty badal ya Willian au Jorginho
Yote haya ni makossa ya kocha ngoja tusubiri labda hili la kumuondoa defender na kumuweka mshambuliaji litakoma na pia wapigaji wa penalty kubadilishwa hovyo naman hii litabadilishwa pia
 
Baada ya Zouma kutolewa tu nadhani Chelsea ilirudi kwenye 4-2-2-2 halafu tukafungwa baada ya dk moja
Hizi formation za kuwaweka mabeki wane nyuma ni hatari kwa Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom