komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Mna timu nzuri, mtatisha mwaka huu. Mimi man u damu bt leo ilikua roho mkononi, tumewabahatisha tu ndo kweli. Hamkua na bahati. Game ya stamford nadhan nitawah kulala!
Mna timu nzuri, mtatisha mwaka huu. Mimi man u damu bt leo ilikua roho mkononi, tumewabahatisha tu ndo kweli. Hamkua na bahati. Game ya stamford nadhan nitawah kulala!
<br />Mna timu nzuri, mtatisha mwaka huu. Mimi man u damu bt leo ilikua roho mkononi, tumewabahatisha tu ndo kweli. Hamkua na bahati. Game ya stamford nadhan nitawah kulala!
Belinda kila chelsea ikifungwa lazima uje utoe pole, asante sana kwa moyo wako wa upendo. ingawa sina uhakika hii pole ni dhati au laa.Poleni sana wazee wa darajani!...Red Devils Hatushikiki, ni vichapo tu tunatembeza!!...ha ha ha
Hiki kijiwe kinazidi kupoteza wanachama kuanzia Sanda Matuta,Invisible,Mvina,Rev Kishoka,Rev Masanilo,Maxence Melo,AB Tchaz ,Farida na wengine kibao popote mlipo tunaomba mrudi mbona jirani zenu Arse8 pamoja na vipigo bado wapo
Belo,
Hakuna pa kujificha wala kuleta vijisababu kama Kwasa Wacha... ni heri hata Mbu, Wenge Musica na Balantanda hukubali gobole likitopa risasi hewa.
Tulizidiwa na ukizingatia Pak, Giggs, Rio, Vidic na wengine regular hawakucheza na tukapelekwa mchakamchaka, sitatoa visingizio vya Wacha!
Yalikuwa makosa makubwa sana kumuondoa Jose Murinyo sasa timu inasuasua vibaya sana lakini bado mna afadhali sana ukilinganisha na sisi tulio mkiani.

Sikujua kama na wewe upo kwenye group la kujikombakomba.
![]()
Kamuuguze huyu chacha khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee