Kombe gani atakalobeba msimu huu?

Ungekubali kuenda Uropa waliko 3rd Class Teams basi ningelimpa guarantee ya kubeba Uropa Mickey Mouse Cup kwasababu mungelizinyanya hizo Timu za 3rd Class kama last season.

Lakini kwa kiherehere chenu cha kung'ang'ania UCL ambako kuna Magiant kama Liverpool walio na uhakika wa kucheza Fainali basi usitegemee chochote msimu huu coz na Hizo Mickey Mouse Cups za Carabao na FA Guardiola anakufa nazo.
Mzee hapo nimesema nachukua Mickey Mouse sijasema UEFA. Halafu kuhusu kuchukua tena UEFA kwa msimu huu sahau baba la baba. Kati ya hawa kuna bingwa hapa.

~MANCHESTER CITY
~JUVENTUS
~BAYERN MUNICH
 
Gilmour amesinya
IMG-20190913-WA0011.jpeg
 
Mzee hapo nimesema nachukua Mickey Mouse sijasema UEFA. Halafu kuhusu kuchukua tena UEFA kwa msimu huu sahau baba la baba. Kati ya hawa kuna bingwa hapa.

~MANCHESTER CITY
~JUVENTUS
~BAYERN MUNICH

Kwani msimu gani muliowahi kusema Liverpool anabeba Ubingwa?
Labda kwanza tuanzie hapo
 
Katika ligi ya vijana jana Chelsea Vs Brighton. Reece James na Callum Hudson Odoi walianza katika kikosi cha kwanza huku wote wakihusika katika goli lililofungwa na Henry Lawrence. Reece alipiga pasi ndefu iliyomfikia CHO naye akatoa assist kwa Henry. Goli la pili lilufungwa na Marcel Lewis
IMG_20190914_085930_242.jpeg
 
Huyu atafuata Nyayo za Sturridge tu!

Liverpool haibebi Makombe, Lakini Strurridge aliikimbia Chelsea inayobeba Makombe akaja Liverpool isiyobeba Makombe hatimae tukamzawadia UCL.

Na huyu siona Lampard akimuanzia kila mechi kama kina Pulisic, Mount, Abraham wataendelea kuwa On Fire!

Kwahiyo natarajia sana hatoongeza Mkataba mpya na hatimae atamfata Kakayake Sturridge kuja Liverpool kupata Minutes nyingi zaidi na Kubeba UCL
 
Odoi atacheza wap pale Liverpool timu yenu imekamilika
 
Minute atazipata wapi? Kwa Salah, Mane au atachezeshwa attacking midfield?
Mbaki na Origi na Lalana watawasaidia.
Huyu atafuata Nyayo za Sturridge tu!

Liverpool haibebi Makombe, Lakini Strurridge aliikimbia Chelsea inayobeba Makombe akaja Liverpool isiyobeba Makombe hatimae tukamzawadia UCL.

Na huyu siona Lampard akimuanzia kila mechi kama kina Pulisic, Mount, Abraham wataendelea kuwa On Fire!

Kwahiyo natarajia sana hatoongeza Mkataba mpya na hatimae atamfata Kakayake Sturridge kuja Liverpool kupata Minutes nyingi zaidi na Kubeba UCL
 
Huyu atafuata Nyayo za Sturridge tu!

Liverpool haibebi Makombe, Lakini Strurridge aliikimbia Chelsea inayobeba Makombe akaja Liverpool isiyobeba Makombe hatimae tukamzawadia UCL.

Na huyu siona Lampard akimuanzia kila mechi kama kina Pulisic, Mount, Abraham wataendelea kuwa On Fire!

Kwahiyo natarajia sana hatoongeza Mkataba mpya na hatimae atamfata Kakayake Sturridge kuja Liverpool kupata Minutes nyingi zaidi na Kubeba UCL
Sturidge aliondoka Chelsea kwa sababu ya ushindani wa namba hakuondoka akiwa mchezaji muhimu kiivyo. Hata alipoondoka alikua ametoka kuchukua UEFA kwa hiyo ikawasaidia na nyie mkanukia kupitia yeye na ndio mkashinda.

CHO kwa sasa anaweza asiwe favourite kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu ndio ana miaka 18, pia katoka majeruhi so kinachoelekea kutokea ni anaanza bench ba kuingia sub then baadae ndio anaweza kuwa regular starter.

Kingine usichojua CHO tayari kesha sinya bado tu haijatangazwa.
 
Naambiwa mpaka sasa katika wale magolikipa wa timu 20 za premier league kipa ghali duniani kepa ndiye kipa anayeburuza mkia kwa kuwa na save percentage ndogo yaani (44%) huku magolikipa waliobaki wote wakiwa na save percentage (50%) na kuendelea.
-
Tusisingizie defence yetu kuwa mbovu kwamba ndiyo chanzo cha kepa kutokuwa bora, kwa sababu Ben foster ndiye kipa mwenye defence mbovu mpaka sasa EPL akiwa na Watford lakini save percentage yake ipo juu ya 50%.
-
Ama kweli nimeamini nyani hata umvalishe suti mkia utatokeza tu

LEO NI TAREHE 14/9/2019

WOLVES WANAHITAJI POINT 3
IMG-20190914-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom