Sidhani kama trophies za ndani zinachangia kwenye coefficient factors za UEFA. It count zero to the ranking
Ni ligi mbili tu zinachangia ambazo ni UCL na Europa
Mfano kuchukua kombe haina point yeyote bali kushinda mechi ina point 2 na draw point 1 kwa UCL na Europa, ukifungwa unapata bonus point ya hiyo stage tu
Mfano bonus point ya Group stage ni 4 kwa UCL na 2 kwa Europa
Last 16 ni 5 kwa UCL
NB: third qualifying round elimination haina point kwa sababu timu zinazoondolewa kwenye hiyo round wanaenda moja kwa moja kushiriki Europa league group stage
Mfano Liverpool alipomfunga Spurs fainali alipata point 1 ya kushiriki fainali na point 2 za kushinda mechi
Spurs wao walipata point 1 ya kushiriki fainali tu
Mfano mwingine
Barcelona walipomfunga Liverpool nyumbani walipata point 3, 1 ya ushiriki na 2 ya kushinda
Liverpool walipomfunga nyumbani tena na wao LIver walipata points 3, 1 ya ushiriki na 2 za ushindi
Quarter final , semi final na final zina bonus point moja moja kwa ligi zote mbili
Criteria zote hizo hapo chini
Champions League points
| Achievement | Points |
|---|
| First qualifying round elimination | 0.5 |
| Second qualifying round elimination | 1 |
| Group stage participation | 4 |
| Win (group stage or later) | 2 |
| Draw (group stage or later) | 1 |
| Last-16 participation | 5 |
| Quarter-final participation | 1 |
| Semi-final participation | 1 |
| Final participation | 1 |
Europa League points
| Achievement | Points |
|---|
| First qualifying round elimination | 0.25 |
| Second qualifying round elimination | 0.5 |
| Third qualifying round elimination | 1 |
| Play-off elimination | 1.5 |
| Group-stage participation minimum* | 2 |
| Win (group stage or later) | 2 |
| Draw (group stage or later) | 1 |
| Quarter-final participation | 1 |
| Semi-final participation | 1 |
| Final participation | 1 |