Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi wewe natamani tucheze game zote hapo hapo kwenu na unakufa si chini ya goli nne,ZUMA naye ni beki??? PEPE Nani atamkaba kwa uozo uliopo hapo, nakukaribisha kesho uone wanaume wanavyocheza mpira.
Sijawahi kupoteza muda wangu kuangalia mechi ya Arsenal. Naangaliaga highlights tu kwa sababu sitegemei kuona vitu vya ajabu.
 
Lampard anajifunza
Boss hataki ingia hasara
Wachezaji wajinga
Kipa tuliiibiwa bora tungenunua kipa wa championship kuliko huyu fala
Kama umeanza kuangalia mpira leo sibishani na wewe ukisema kipa mbovu. Beki anafanya blunders za kipuuzi unategemea utaona ubora wa kipa? Kinachonishangaza mnamsfia leo kesho mnamponda. Kipa mzuri beki hazimlindi tu.

Hata Allison akikutana na beki hizi utamponda pia.
 
Wapi Ollachuga Oc tomori Zuma mchomoa betri kepa kashapigwa goli ngapi hadi sasa ?

Mnafurahia kwenda UCL wakati mna kikos dhaifu
Yan Arsenal fan boys mna vituko sana. Sasa unaniponda mimi nina kikosi kibovu wewe una kikosi gani imara cha kuleta changamoto? Ningekuona wa maana ungemkazia Liverpool lakin ndio ukamuacha akapiga anavyotaka halafu unasimama mbele ya wanaume una kikosi cha maana
 
Mkuu bora kingGwaba atukejeli kuliko AROON.

Aroon ananguvu ya kukejeli lakini hana nguvu ya kupambana . Akifungwa tu utasikia Unai amepanga kikosi b. Ni mtu mwenye matokeo mdomoni siku zote
 
Mkuu bora kingGwaba atukejeli kuliko AROON.

Aroon ananguvu ya kukejeli lakini hana nguvu ya kupambana . Akifungwa tu utasikia Unai amepanga kikosi b. Ni mtu mwenye matokeo mdomoni siku zote
Hahaaaaa haaaaaa aisee huyu jamaaa huwa namfuatilia sana koment zake nikweli anakuwaga namatokeo na leo akipigwa anaanza kutoa lawama kwa unai tehe tehee
 
Kwa sababu mimi kitendo cha forward japo nazo ni dhaifu kua zinafunga kisha goal zoye zinachomolewa kinaniudhi sana.

Wachambuzi wa soka naomba uchambuzi wenu lampard anafeli wapi?

Azplicueta kachoka sana mchezaji kila match yupo jana goal zote zimetokea kwake japo kua lawama anaangushiwa zouma lakini hii beki nayo ingepata mbadala ingepumzishwa.

Kuongo wa kuvuruga mipango ya wapinzani pale kati kwanini hachezi? Matokeo yake mipira kule mbele haikai wamejaa watoto tu ambao hawana hata stamina wanapulizwa na upepo akina pulisic,mount,abraham n.k

Lampard anafeli wapi mbona anakosa cleanshit kila match anayocheza? Kama kitimu kidogo vile kinamsumbua sasa atamfunga nani tena?
 
Yan Arsenal fan boys mna vituko sana. Sasa unaniponda mimi nina kikosi kibovu wewe una kikosi gani imara cha kuleta changamoto? Ningekuona wa maana ungemkazia Liverpool lakin ndio ukamuacha akapiga anavyotaka halafu unasimama mbele ya wanaume una kikosi cha maana
Kwahiyo wewe una kikosi kizuri? Maajabu haya ,
 
Mkuu bora kingGwaba atukejeli kuliko AROON.

Aroon ananguvu ya kukejeli lakini hana nguvu ya kupambana . Akifungwa tu utasikia Unai amepanga kikosi b. Ni mtu mwenye matokeo mdomoni siku zote
Sijakejeli nimeongea fact, hivi nani asiyejua Chelsea ana kikosi kibovu msimu huu au ukweli hamtaki kusikia? Mbona nimekuwa nikiwaambia toka preseason ,

Sasa hata hao waliopanda daraja wanawakazia ,hata kutoa cleansheet mmeshindwa , mkikutana na mapapa je?

Ndio maana nahitimisha msimu huu mtaishia nafas ya 10-15
 
Hahaaaaa haaaaaa aisee huyu jamaaa huwa namfuatilia sana koment zake nikweli anakuwaga namatokeo na leo akipigwa anaanza kutoa lawama kwa unai tehe tehee
Mm sitembei na matokeo mfukuni,

Lawama kwa unai mech iliyopita hazikwepeki, ni Arsenal fans worldwide lawama zetu ni hizo hizo , na waandishi kwenye press wakamtandika maswali Yale Yale , na akaahidi Leo wataanza wanaume

Na Leo spurz tunamnyoa bila wembe
 
Casper schmeichel(Leicester), Vicente Guaita(Crystal palace) na Jordan Pickford(Everton) kwa pamoja wameruhusu magoli 6 tu! ndani ya mechi 3.. jumla ya thamani yao ni €49 millions.
-
Kepa ameruhusu magoli 9 ndani ya mechi 4 na ikumbukwe tuliuziwa kwa thamani ya €80 millions.

Kweli Wajinga ndio tuliwao

Picha haina uhusihano wowote na Kepa
IMG_20190828_233936.jpeg
 
Kwan Chelsea big mechi mmecheza ngapi na Mkashinda ngap ?

Huyu Lampard Afukuzwe Huyu Lampard Atatushusha Daraja Huyu Kepa Tumepigwa
FB_IMG_1567315856089.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom