Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I'm prepared for the hate but I'll still say it. Fikayo Tomori is equally good on the ball as David Luíz and that includes long balls/through balls. Coming from someone who has been watching him a lot and I have said it before.

https://twitter.com/CFCBrian_/status/1168137870793510912
Image

Huyu dogo akicheza msimu mmoja tu atakuwa the best CB hata kumzidi Rudiger
Soma maoni ya mashabiki hapa

Wengine wanasema
  • Thanks for David Luiz departure
  • Bench Zouma and pair with Rudiger
 
Hivi huu ndio ushabiki, basi sisi wengine hatufai kuwa mashabiki kwa mtindo huu

Sio kila kitu unaquote bro vyengine angalia vimewasilishwa kinamna gani na kwanani.

Huyo kuna siku kuna mnadau aliuliza kwenye uzi wetu kuhusu injury status ya Alisson jamaa akajibu kuwa Anakatwa Mguu!

Sasa na yeye leo kauliza na Mimi nikamfanyia Joking ya majibu hayo.
 
I'm prepared for the hate but I'll still say it. Fikayo Tomori is equally good on the ball as David Luíz and that includes long balls/through balls. Coming from someone who has been watching him a lot and I have said it before.

https://twitter.com/CFCBrian_/status/1168137870793510912
Image

Huyu dogo akicheza msimu mmoja tu atakuwa the best CB hata kumzidi Rudiger
Soma maoni ya mashabiki hapa

Wacha kumkosea heshima Luiz mbele ya hiyo Takataka
 
Wacha kumkosea heshima Luiz mbele ya hiyo Takataka
Bado ungeweza kutoa maoni yako bila ya kejeli na dharau. Huyu ni mdogo anakua. Luiz hakufikia alipofikia overnight, naye alikuwa akakomaa with time. Tomori kwa walioona uchezaji wake in the near future atakuwa better than Luiz na hii sio joke ni facts. Ila kwa wasiomfuatilia kama wewe mtaendelea kumuona takataka
 
Hata Gomez alikua anakuja vizuri Burnley wakamuonesha nini maana ya EPL, sasahivi hata kutuliza mpira anaogopa! Sasa na huyo Tomori wenu subiri akutane na visiki vilovyokuwa havina cha kupoteza
 
Mimi nawashangaa watu wanaomsifia Jourgninho
Ukiangalia vizuri goli la kusawazisha lilivyofungwa wachezaji waliacha nafasi kubwa kwa mfungaji pamoja na Azpi kushindwa kumdhibiti Robinson, Jorgninho kabaki kushanga tu badala ya kuziba nafasi kubwa iliyoachwa golini na alikuwa kwenye eneo la tukio na kubaki kulala chini akisikitika bure.
Jorgninho udhaifu wake mkubwa hawezi kudefend na pia ball control hana ./; Sijui Lampard anaendelea kumtrust kwenye hiyo nafasi ya nini
Mimi ningekuwa Lampard ningefanya mageuzi haya
  1. Azpi awe backup wa Reece ofcourse hii natumaini itakuwa hivyo - Azpi naona yeye pumzi inamkata, fate yake kama ya Carhill
  2. Nafasi ya Jorginho apewe Kante, Jorginho awe backup kwenye MF - wekeni huu uzi with time goes on mtakuja kuniunga mkono
  3. Zouma awekwe bench na nafasi yake acheze Tomopri akishirikiana na Rudiger akirudi - Zouma alikuwa ana concertation nzuri akiwa Everton lakini huku Chelsea naona sometime anapitiwa na kukosa concetration mpaka anaboronga kwenye baadhi ya defending occasions
 
Breaking news ,baada ya international break

Wolves atakuwa nyumbani na katoka kupoteza vs Everton

MJIANDAE KISAIKOLOJIA
 
Official Chelsea's 25-man Premier League squad (*Home grown)
  1. Arrizabalaga Revuelta, Kepa
  2. Caballero Lazcano, Wilfredo Daniel
  3. Azpilicueta Tanco, Cesar
  4. Christensen, Andreas Bodtker*
  5. Rudiger, Antonio
  6. Tomori, Fikayo*
  7. Zouma, Kurt Happy
  8. Alonso Mendoza, Marcos
  9. Palmieri Dos Santos, Emerson
  10. Kante, Ngolo
  11. Kovacic, Mateo
  12. Jorge Luiz, Frello Filho, Jorgninho
  13. Barkley, Ross*
  14. Loftus Cheek, Ruben*
  15. Marco Van Ginkel
  16. Borges Da Silva, Willian
  17. Abraham, Tammy*
  18. Giroud, Olivier
  19. Batshuayi, Michy
  20. Rodriguez Ledesma, Pedro Eliezer
These are not in the 25-Man squad because they are U21
  1. James, Reece (19)
  2. Hudson-Odoi, Callum (18)
  3. Pulisic, Christian (20)
  4. Mount, Mason (20)
  5. Cumming, Jamie(20)
  6. Gilmour, Billy (18)
 
Mara ya mwisho golikipa ghali dunian kepa kupata clean sheet kwenye English premier league (EPL)
-
Jurgen Klopp alikua hana kombe lolote toka ajiunge na Liverpool sasa anayo mawili
Toronto Raptors walikua hawana NBA title hata moja hivi sasa wanayo
Adriàn golikipa wa Liverpool alikua hajawahi kushinda kombe lolote katika maisha yake ya soka sasa analo
Xavi Hernandez alikua hajashinda kombe lolote kwa ngazi ya ukocha akiwa na Al Sadad
sasa analo
-
Unaweza kuona ni muda mrefu sasa umepita Ila Bilbao mmejua kutupapasa aise €80 million ni nyingi mno!
FB_IMG_1567589289659.jpeg
 
Nadhani Chelsea atagawa point, halafu ataongoza hilo kundi kutoka mwishoni..kisha atajiunga na sisi kunako kwenye ligi ya wastaarabu (Europe)....ni jambo la muda tu,

FB_IMG_1567589409458.jpeg
 
Tatizo la Chelsea sasa sio mbele bali ni defending kuanzia MF hadi Defenders. MF wanashindwa kukata umeme mpaka huo umeme mkali unawafikia mabeki ambao nao wana errors nyingikuanzia kwa Azpi, Christensen na Zouma, Hao wakiwa replaced tatizo litapungua sana.
Kante mktaji wa umeme akicheza katikati au wakishirikiana na Jo au Kova kwa ile formation ya 4-2-3-1 timu itaacha ku-concede magoli ya hovyohovyo
Chelsea wana short 68 mapaka sasa katika mechi 4 zilizokwisha chezwa ambazo zinaiweka Chelsea ya tatu kwenye EPL nadhani baada ya Mancity na Liverpool
Hii ni habari njema
Rudiger akirudi na Zouma akawekwa bench na Azpi, Kante akicheza nafasi yake, Chelsea inarudi ile ya kushinda tukianzia na Wolves nyumbani kwao
 
Christensen na Zouma hapa beki mzuri ni Zouma. Na nadhani hata Lampard&benchi la ufundi waliliona

Kumchezesha Tomori badala ya Zouma ni kama kamari

Christensen kwa ile gemu ya Man Utd watu walioangalia ile mechi nadhani watakubaliana nami kwa Christensen hapakuwa na beki mechi ile
 
Akipona AR akave nafasi ya KZ halafu Reece nae ampokee SA Chelsea kwa kiasi fulani itakaa vizuri tuombe Mungu nae Kante apone ili akate Umeme pale kati nadhani watesi wetu Wa mamneno watatulia wenyewe
 
UCL Squad
Goalkeepers:
  1. Kepa,
  2. Caballero,
  3. Cumming.
Defenders:
  1. Azpilicueta,
  2. Emerson,
  3. James,
  4. Alonso,
  5. Rudiger,
  6. Christensen,
  7. Zouma,
  8. Tomori,
  9. Guehi.
Midfielders:
  1. Jorginho,
  2. Kante,
  3. Kovacic,
  4. Barkley,
  5. Gilmour,
  6. McEachran*,
  7. Mount,
  8. Loftus-Cheek.
Forwards:
Wingers
  1. Willian,
  2. Pedro,
  3. Hudson-Odoi,
  4. Pulisic,
Strikers
  1. Abraham,
  2. Giroud,
  3. Batshuayi.
 
Maurizio Sarri has revealed that he needs N'Golo Kante to stay close to Jorginho when defending as the Chelsea star is 'not very good in open spaces.'

"With the ball on the other side, he has to stay very close to Jorginho. Otherwise it's a big problem for us.

"Jorginho can cut out passes from the opposition, but he's not very good in the defensive phase in open spaces. So I think we need Kante very close to him."

BABU SARI ALISHAWAHI KUSEMA JORGINHO SIO MZURI KWENYE UKABAJI MPAKA ASAIDIWE NA NGOLO.

SASA NI KITU GANI JORGINHO ANAKIFANYA KWA UFANISI? PASI ZENYEWE HAZIZALISHI MAGOLI
Halafu hapa kuna watu wanamsifia wqakati kwa sehemu kubwa yeye ndie anayewabebesha mabeki mzigo wa kukaba. Jorgninho bado ni mzuri ila sio kwenye role ya kukaba. Kwenye pasi za haraka haraka ni m zuri ila sio long balls au through bals hapo bado anajifunza
 
Mara ya mwisho golikipa ghali dunian kepa kupata clean sheet kwenye English premier league (EPL)
-
Jurgen Klopp alikua hana kombe lolote toka ajiunge na Liverpool sasa anayo mawili
Toronto Raptors walikua hawana NBA title hata moja hivi sasa wanayo
Adriàn golikipa wa Liverpool alikua hajawahi kushinda kombe lolote katika maisha yake ya soka sasa analo
Xavi Hernandez alikua hajashinda kombe lolote kwa ngazi ya ukocha akiwa na Al Sadad
sasa analo
-
Unaweza kuona ni muda mrefu sasa umepita Ila Bilbao mmejua kutupapasa aise €80 million ni nyingi mno!View attachment 1197585
Hongera kwa bandiko zuri nakushauri acha roho za korosho huko kwenye jukwaa lenu roho inakuuma Mustafi kuendelea kubaki arsenal na anavuta 90k Sterling ,unafurahi Miki kaondoka alikuwa analipwa 200K ,sasa wachezaji unataka walipwe $1 ndio roho yako iridhike ?au wanunuliwe bure? pesa haitoki mfukoni kwako maumivu ya nini?acha vijana walipwe waliamua kucheza soka na wewe ungekuwa mchezaji, hizo pesa walizolipa chelsea ni ndogo wangelipa hata 300m€
 
Mbona povu mkuu , tatizo nini hasa ,humu tunataniana ,wewe ushajaa povu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom