Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

• Ngolo amekatwa Mguu baada ya kupata infection kwenye Bone marrow

• Rudigar amepelekwa Marekani kwa John Shaw (Physiotherapist) anatengenezewa Mguu wa Bandia

• Loftus Cheek amepatikana na Maambukizi ya Hepatitis B kwahiyo atarudi uwanjani baada ya mwaka mmoja baada ya kumaliza dozi ya ARV

• Odoi yupo Mental Hospital baada ya kuugua Kichaa kutokana na kukimbiwa na Demu wake.
Halafu mtu Kama huyu unakuta ana familia na anaitwa baba daaah Kaz kwel kwel
 
Huwa sielewagi Role ya Joghino uwanjani ni mkabaji au mchezeshaji?

Kukaba hawezi na akikaba kwa nguvu anakula kadi, akipoteza mpira hawezi kuurudisha, akipitwa hawezi kukimbiza.

Huyu kijana nini kazi yake ni nini haswa?
Jorginho ninaweza kumwita ni kiungo namba nane world Class hapa duniani tatizo linakuwa waliomzunguka

Jorginho pass zake nzuri mno tena za akili nyingi yaani hapigagi pasi bila ya mahesabu halafu anakupigia pasi faster faster utasema jamaa hafikirii lakini mantiki ya pasi zake nimeielewa na kuipenda sana. Halafu kiungo sio lazima awe anaweza kukaba, kufidia uwezo mdogo wa kukaba anaweza kuwa ana-intercept mipira tu inatosha na kukaba kadri ya uwezo wake
 
Kwani kukaba ni kitu gani, interceptions sio kukaba. Tunamuitaji Kante apewe role ya kukaba, kama Jo atakuwepo na pasi zake sawa lakini ukabaji hawezi hata interception hawezei sana sio kama Kante
 
Haters wa Kepa mpo: Pateni wivu basi hata kwa mechi ya Leo kati ya Spain na Romania
Kwanza Kepa kamweka benchi DeGea
Pili, dk ya 92 Kepa anaokoa goli ambalo lingefungwa Spain ingeishia kuondoka na point moja tu

David de Gea dealt fresh blow as Kepa Arrizabalaga again preferred by Spain boss

Chelsea goalkeeper Kepa has now been the man between the sticks in four successive Spain matches

De Gea, 28, has 39 senior caps to his name and had been Spain’s first choice since replacing World Cup winner Iker Casillas between the sticks towards the end of the Vicente del Bosque era.

But he is now playing back up to Chelsea stopper Kepa Arrizabalaga, as the Manchester United goalkeeper was left on the substitutes bench in Bucharest
 
Lazima tukubali kuwa siyo wachezaji wote wanakamilika kivyao wao wenyewe kama Kante hana haja mchezaji awepo ndio yeye awe form ambayo ni vice versa kwa Jorginho anamuhitaji Kante awepo ndio utaona maajabu yake. Lakin Jorginho huyu kuna baadhi ya mifumo anaweza kujitegemea yeye mwenyewe mfano aende Man City au Juve unaweza kukataa siyo yule alokua Chelsea.

Tutamlaumu Jorginho mpaka basi lakini role yake siyo kukaba. Kama Lampard atakua na watu wawili katika defensive midfield yani wakisimama Jorginho na Kante tunaweza okoa makosa mengi ya kiulinzi. Lakin kama itakua tofauti na ivyo watu wataendelea kushusha lawama tu.
Halafu hapa kuna watu wanamsifia wqakati kwa sehemu kubwa yeye ndie anayewabebesha mabeki mzigo wa kukaba. Jorgninho bado ni mzuri ila sio kwenye role ya kukaba. Kwenye pasi za haraka haraka ni m zuri ila sio long balls au through bals hapo bado anajifunza
 
Haters wa Kepa mpo: Pateni wivu basi hata kwa mechi ya Leo kati ya Spain na Romania
Kwanza Kepa kamweka benchi DeGea
Pili, dk ya 92 Kepa anaokoa goli ambalo lingefungwa Spain ingeishia kuondoka na point moja tu

David de Gea dealt fresh blow as Kepa Arrizabalaga again preferred by Spain boss

Chelsea goalkeeper Kepa has now been the man between the sticks in four successive Spain matches

De Gea, 28, has 39 senior caps to his name and had been Spain’s first choice since replacing World Cup winner Iker Casillas between the sticks towards the end of the Vicente del Bosque era.

But he is now playing back up to Chelsea stopper Kepa Arrizabalaga, as the Manchester United goalkeeper was left on the substitutes bench in Bucharest
Mbona husemi kuwa katobolewa Jana

Hivi lini alipata cleansheet huyu kepa?

Mm mech yeyote iwe ya serious au mchangan nikiona kaanza kepa , nawekaga GG , na lazima itoe
 
Jorginho ninaweza kumwita ni kiungo namba nane world Class hapa duniani tatizo linakuwa waliomzunguka

Jorginho pass zake nzuri mno tena za akili nyingi yaani hapigagi pasi bila ya mahesabu halafu anakupigia pasi faster faster utasema jamaa hafikirii lakini mantiki ya pasi zake nimeielewa na kuipenda sana. Halafu kiungo sio lazima awe anaweza kukaba, kufidia uwezo mdogo wa kukaba anaweza kuwa ana-intercept mipira tu inatosha na kukaba kadri ya uwezo wake
Team ya Azuri wanao viungo wengi Sana ila ndugu yetu Gorgihno anapata namba nachojiuliza hata Sasa makocha wanampendea nini, ufafanuzi zaidi kuhusu huyu mzee baba
 
Mipira anayoisambaza Jorginho, pasi nyingi tena nzuri muda wote.

Kwa ufinyu wa uelewa wangu Kwenye midfield inatakiwa wawepo viungo atleast wawili ambao wanajua kukaba then at least kiungo mmoja ambae atacheza nane anaejua kupiga pasi za tempo na mashambulizi
 
Kepa kachafua ubao,

Kupata cleansheet kwake imekuwa mtihan

IMG-20190906-WA0012.jpeg
 
Yah tupate DM mmoja mkali wa kusaidiana na Kante. Jorginho acheze free kama CM achezeshe timu.
Yan kwa jinsi nionavyo Jorginho asicheze karibu na mabeki asogee mbele. Kante anamtafutia yeye anasambaza kwa wingers na striker. Nakumbuka hata kipindi fulani Fabregas aliwahi kulaumiwa kama ambavyo Jorginho anapewa lawama sasa kipindi hicho Mou ndio alikua anacheza ule mpira wa kupark bus kwa hiyo Fab akawa anaonekana kwenye mfumo hafai kea sababu hakabi lakin alipopatikana Kante halafu Fab akasogea mbele kidogo mbona alikuja kuonekana mtu. Assist za kutosha wakina Hazard na Costa wali enjoy prime ya Fab darajani
 
Kepa kachafua ubao,

Kupata cleansheet kwake imekuwa mtihan

View attachment 1199750
Msimu uliopita makipa watatu tu ndio walikua wanaongoza kwa Clean Sheet. Allison, Ederson pamoja na Kepa lakin hayo hamkiongelea. Sasa hivi mmegeuza ubao mnaanza kumponda kwa kukosa CS lakin hamsemi kumuweka nje golikipa wenu pendwa.

Yan Kepa anawageuza geuza kama chapati
 
Jojino hata kwa namba 8 ya gwambina ya pasta athanas bado,

Ana safari ndefu kujifunza vitu kutoka kwa viungo bora kama Dan ceballos .
Hahaa.. Bahati nzuri ni kwamba nje ya Chelsea mimi ni shabiko mkubwa wa Madrid. Kwa hiyo nafuatilia sana wachezaji wanaoingia na kutoka. Dani Ceballos ni mzuri ila anahitaji muda kufanyia kazi kipaji chake. Bado ni mdogo na hajapata experience kucheza ligi kubwa na mechi za kiushindani na ndio maana tumemleta hapo Gunners apate changamoto ajifunze.

BTW, Jorginho is too old to be compared with Ceballos.
 
Mkuu gorginho ni master katika pass tu, zaid ya hapo ni sawa na Shishimbi tu,

Ndio maana pep Alimuhitaji kwa ajili ya tiktak ,

Ila kiufundi kazidiwa na maestro ceballos , tunaandaa £50m tuwape madrid
 
Mbona husemi kuwa katobolewa Jana

Hivi lini alipata cleansheet huyu kepa?

Mm mech yeyote iwe ya serious au mchangan nikiona kaanza kepa , nawekaga GG , na lazima itoe
Hiyo ni general propaganda from any hater. Kepa kufanya a very important save na hiyo pekee ndio inayompa credit kwa sababu kufanya kwa wakati muhimu na kwa matokeo muhimu kwa Spain. Pia Kepa kamweka bench GK anayeonekana ni maridadi duniani na kwa hili maana yake sasa KJepa kaingia kwenye orodha ya Magolkipa maridadi duniani. Hiyo ya cleen sheet ni propaganda yako Arron
 
Lazima tukubali kuwa siyo wachezaji wote wanakamilika kivyao wao wenyewe kama Kante hana haja mchezaji awepo ndio yeye awe form ambayo ni vice versa kwa Jorginho anamuhitaji Kante awepo ndio utaona maajabu yake. Lakin Jorginho huyu kuna baadhi ya mifumo anaweza kujitegemea yeye mwenyewe mfano aende Man City au Juve unaweza kukataa siyo yule alokua Chelsea.

Tutamlaumu Jorginho mpaka basi lakini role yake siyo kukaba. Kama Lampard atakua na watu wawili katika defensive midfield yani wakisimama Jorginho na Kante tunaweza okoa makosa mengi ya kiulinzi. Lakin kama itakua tofauti na ivyo watu wataendelea kushusha lawama tu.
Mkuu Jorginho hafai kwa mfumo wa Lampard wa high pressing aidha anaweza kufaa labda wakicheza na Kante huku Kante akipewa role ya kukaba na Jorgninho yeye afanye central role ya coordination. Vinginevyo Jorgninho akicheza na MF tulio nao mbali na Kante anakuwa too much exposed kwenye counter attack na ndivyo Chelsea tunavyofanyiwa tangu pre-season matches hadi mechi 4 za EPL tulizocheza. Soon or later na isichelewa sana Kocha anatakiwa kufanyia hayo marekebisho. Beki kama Zouma ni mzuri sana akiwa protected lakini akiwa exposed kwa caounter attack anakuwa na errors nyingi na that is what happening
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom