Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Tunaupiga mwingi saaaanaaaa
Bado unahitaji mechi na sisi ??? Lampard alitakiwa awe msimamizi wa mazoezi, hio timu ni kubwa kuliko yeye, tatizo nyie vichwa ngumu hamuelewiWe baragumu mpira hautafsiriki ivyo. Mechi yetu na wao ndio imeonyesha mapungufu yetu na mapungufu yao pia. Sisi tulikua tunapress lakini hatuzibi nafasi space zinakua kubwa mno na ndii maana ikipigwa counter moja imo. Timu yetu ilicheza kwa pressure kutaka kuwa prove watu wrong na ndipo Utd alipatia nafasi kutufunga.
Ngoja tukutane na hata nyie mtaona tutakacho wafanya.
Leo umevutwa shati na wazee wanzako wa championshipSpurs anakusubiri we jishebedue tu hapa
Ollachuga anakwambia Kepa ni nambari moja EPLChelsea yetu hakuna kipa wala wachezaji

Huyu kepa tumepigwaChelsea yetu hakuna kipa wala wachezaji
Hahaa.. Waambie warudi waloweshe na tindikaliNITAWAAMBIA NINI WALE WANAOPITA NA KANGA IMELOWA MAJI
Nishafika ,Mkuu AROON njoo huku uone hahahahahahahahah
Ondoa Anfield, Etihad hivyo vingine wanatambua shughuli yetu. Yan kwa kifupi ni wachumba haoChelsea bana hata nyumbani hamshindi sasa kweli utaenda kushinda Emirates Anfield Etihad au Tottenham Stadium?nyie mtakula vipigo hadi mkimbiane humu
Kuwa na akiba ya maneno mzee. Usije chakazwa kama nilivyokuchakaza mimiLeo umevutwa shati na wazee wanzako wa championship
Spurz akipona ni 4
Hehee.. Umeshindwa kutaja timu yako hapoYaani paka shelfield kapanda daraja jana tu lakini anapindua matokeo hapo BRIDGE, afu eti na nyie mnataka kushindana na City na liverpool, haahahahahaa!


Leo Zuma nasikia kachomoa betriKuwa na akiba ya maneno mzee. Usije chakazwa kama nilivyokuchakaza mimi
Top 6 inajulikana utagawa point 6 kwa kila mmoja ,Hehee.. Umeshindwa kutaja timu yako hapo![]()