Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi Zouma akiendelea na ubora wake huu wa kumchapa Kepa magoli mujaarabu kabisa hawezi kushinda kiatu cha dhahabu?
 
Naendelea na Chambuzi zangu kuhusu Chelsea

Iwapo mmeshindwa kuchukua point 6 mapema kabisa kwa Norwich & shefflied

Je kwa Wolves. Leicester. Watford ,astonvilla , Burney ,Everton ,westham , Newcastle Mtavuna nini ?

Top 6 kama kawaida kwa kikosi chenu mtagawa point 6-4 kwa kila mmoja.

Tukienda kwa mwendo huu kuna uwezekano Kufikia December Chelsea ikawa nafas za 10-15

Juhudi zisipofanyika haraka , tunaweza kushangaa mech za mwisho Chelsea ikapelekwa Championship .na Ollachuga Oc akajipiga ban ya maisha....

Wakati ligi haijaanza niliwaambia msimu huu mtapata taabu sana , kwa hii timu muwavizie waliopanda daraja mchukue 6 points mapema , mmeshindwa......

KARIBUNI LEO KUSHUHUDIA TUNACHOMFANYA SPURZ

PICHA CHINI NI WANAUME WATAKAOONGOZA MAUAJI LEO
View attachment 1194694
Yan Arsenal ni kama yule mrembo ambaye kwa muonekano wa nje ni mzuri kweli kweli lakin ndani hakufai, ananuka ubeberu, bwawa n.k. Forward yenu ni nzuri na ina uhakika wa kukupa magoli kila mechi ila huko nyuma ya hiyo midfield na beki ni utumbo mtupu.
 
Mm sitembei na matokeo mfukuni,

Lawama kwa unai mech iliyopita hazikwepeki, ni Arsenal fans worldwide lawama zetu ni hizo hizo , na waandishi kwenye press wakamtandika maswali Yale Yale , na akaahidi Leo wataanza wanaume

Na Leo spurz tunamnyoa bila wembe

Bado masaa 6
 
Yan Arsenal ni kama yule mrembo ambaye kwa muonekano wa nje ni mzuri kweli kweli lakin ndani hakufai, ananuka ubeberu, bwawa n.k. Forward yenu ni nzuri na ina uhakika wa kukupa magoli kila mechi ila huko nyuma ya hiyo midfield na beki ni utumbo mtupu.
Wewe mwenye beki bora kuliko arsenal

Mechi 4 goli 9 point 5
 
Kwa walichofanya jana Chelsea,kutangulia 2goals,kuanza kuruka ruka na goli zote kurudishwa kufanya game iishe 2_2,natangaza rasmi Chelsea ni genge la wahuni...
 
Yaani Arsena muda wao wa kushabikia na kufurahia matokeo ya timu zingine ni huu mwanzoni mwa ligi. Pale ligi inapoishia wanatangulia kujipiga ban haraka sana
 
Hivi Zouma akiendelea na ubora wake huu wa kumchapa Kepa magoli mujaarabu kabisa hawezi kushinda kiatu cha dhahabu?
Beki bora Italia na possible one of the best CB duniani Koulibally jana kajifunga tena goli zuri kuliko hilo la Zouma tena goli la kuua jitihada za timu yake kurudisha magoli matatu
Ilikuwa hivi mpaka dakika ya 66 Juventus walikuwa wanaongoza kwa goli 3 -0
Napoli wakaja juu wakasawazisha dakika ya 82 ikawa 3-3
Koulibaly akajifunga goli zuri sana dk ya 92
Hii ya Zouma ni cha mtoto na zaidi ya hayo tumetoka na point
Zouma ana shortcoming zake lakini jana mtizamo wa timu ulibadilika baada ya HT
Chelsea bado iko kwenye translon, ikiisha pita mtakoma
 
Beki bora Italia na possible one of the best CB duniani Koulibally jana kajifunga tena goli zuri kuliko hilo la Zouma tena goli la kuua jitihada za timu yake kurudisha magoli matatu
Ilikuwa hivi mpaka dakika ya 66 Juventus walikuwa wanaongoza kwa goli 3 -0
Napoli wakaja juu wakasawazisha dakika ya 82 ikawa 3-3
Koulibaly akajifunga goli zuri sana dk ya 92
Hii ya Zouma ni cha mtoto na Zaidi ya hayo tumetoka na point
Zouma ana shortcoming zake lakini jana mtizamo wa timu ulibadilika baada ya HT
Chelsea bado iko kwenye translon, ikiisha pita mtakoma
Kwahiyo mkuu Koulibaly amemtandika kipa wake goli bora zaidi kuliko Zouma.
Wote watapata viatu wakiendelea kujituma kuwatandika magoli makipa wao.
 
Nilipoona kulibaly kajipiga chuma kikali zuma ni nani asipewe nafasi zaidi? Tunacheza vizuri Sana kumaliza game mapema ndio tatizo kuliko beki, inapaswa tufunge magoli mengi zaidi ya tunayofungwa
 
Kama shefflied anawatoa kamas mtafika wapi
Baaada ya mechi 10 ndo nilikwambia nitasema kitu. Timu yangu ina tatizo LA kucheza kipindi cha pili. Kama hili litafanyiwa kazi, nitakushangaza sana
 
Hii ligi bado mbichi wadau. Arsenal anatuzidi point 2 na hatujacheza naye na huwa tunakabamiza. Tottenham tunalingana point, na Man U tunalingana nao point. Naona improvement ktk timu. Kama defensive errors zikifanyiwa kazi, timu ikajua kulinda ushindi basi moto watauona.
Ni kutojua mpira mtu kutumia mechi nne kufanya judgement.
Bado naamini Chelsea itajirekebisha. Timu zenye watoto wengi haya mambo huwa hayakosi. Pedro, Rudiger na Kante watakuja kuongeza maturity na experience kwenye kikosi. Tuwe wataratibu. Arsenal huwa anapiga sana kelele lakini mwisho wa siku anamaliza nafasi ya tano. Nafikiri Arsenal ni level ya Europa tuachane naye maana Leicester, Arsenal na Crystal Palace wameshika nafasi za watu
 
Kabisa mkuu
 
Kuna watu humu wanadhani Chelsea hii ni timu mbaya. Lakini ukweli Chelsea hii so mbaya kama watu wanavyoidhani. Tunaenda international break tukiwa sawa points na Man U ambao wametumia £ 148 million kwenye usajili na Tottenham ambao wametumia £ 101.5 Million kusajili.
Timu imeanza msimu na kocha mpya, wachezaji wengi ni vijana na wapya ktk mfumo, some key player ni majeruhi na transfer ban.

Mimi nawakikishia wachezaji wakishaingia kwenye mfumo, key players wakapona, na kocha akaendelea kuadapt EPL tutawashangaza wengi. Wanaomponda Lampard kwa sasa hivi ni wajinga wasiojua kibarua chake kilivyo kigumu ktk mazingira ya sasa. Guadiola msimu wake wa kwanza EPL hakuwa na chellenge kama hizi alizonazo Lampard, lkn alikula vichapo akamaliza nafasi ya nne. Mazingira ya EPL kwa sasa si kama yale ya Guadiola wakati anaingia EPL. Liverpool, Man City, Tottenham, Arsenal wameimarika sana na hata makocha wa hizo timu wana uzoefu na EPL. Bado tupo ktk mkondo sahihi. Tutulie, tuivumilie timu na kocha. Tumepata raha mingi, tuipe muda timu msimu huu mmoja angalau
 
Exactly, niliwahi kusema hawa vijana wadogo wakishazoea EPL hizo timu zenye wazee wengi watakoma. Ni suala la muda tu, RLC, Kante, Rudiger, Pedro warudi kwenye fitness yao na Reece asaidiane na Azpi, jumlisha yote, hawa virusi waliajazana hapa kutusodoa watapotea kwa njia saba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom