Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Na kitakacho kufurahisha zaidi ni pale Man U atakapomiliza nafasi ya sita huku Chelsea akitinga top fourKnacho nfurahsha alikuadhibu 4
Na kitakacho kufurahisha zaidi ni pale Man U atakapomiliza nafasi ya sita huku Chelsea akitinga top fourKnacho nfurahsha alikuadhibu 4
Beki bora Italia na possible one of the best CB duniani Koulibally jana kajifunga tena goli zuri kuliko hilo la Zouma tena goli la kuua jitihada za timu yake kurudisha magoli matatu
Ilikuwa hivi mpaka dakika ya 66 Juventus walikuwa wanaongoza kwa goli 3 -0
Napoli wakaja juu wakasawazisha dakika ya 82 ikawa 3-3
Koulibaly akajifunga goli zuri sana dk ya 92
Hii ya Zouma ni cha mtoto na zaidi ya hayo tumetoka na point
Zouma ana shortcoming zake lakini jana mtizamo wa timu ulibadilika baada ya HT
Chelsea bado iko kwenye translon, ikiisha pita mtakoma
Wewe ndio beki bora,Huyo mtu hajawi karibia kuwa beki Bora Popote, Si Italy wala Duniani.
Amewafungisha wenzie magoli mawili ya wazi Juzi. Kageuzwa na Higuain utafikiri kageuzwa na Messi




Wewe ndio beki bora,
Sats zinamtetea wala sio wewe dos
On his full debut Fikayo Tomori was the most accurate Chelsea passer, completing 93 of his 98 passes at a 95 per cent success rate.
Huyu dogo ndiye atakayeweza kuziba pengo la Luiz
Mkuu ni bora kukaa kimya siyo lazima kila mtu ajue hujui mpira. We jaribu kuwa mtazamaji tu na kupitia comments itakutosha.Huwa unatizama Serie A au unatizama Data kiganjani tu?
Wiki iliyopita alifanywa uchochoro Na Chiesa kwenye mechi na Fiorentina.
Huwezi fananisha mpuuzi kama huyu na Chielini na Bonnuci kabisa.
Mkuu ni bora kukaa kimya siyo lazima kila mtu ajue hujui mpira. We jaribu kuwa mtazamaji tu na kupitia comments itakutosha.
Mwenye update za MAJERUHI WETU wakina Ngolo, Rudger, cheek, odoi wanaendeleaje? Kuna matumaini yeyote?
Hahahahahahahaha acha ujinga.
Hivi huu ndio ushabiki, basi sisi wengine hatufai kuwa mashabiki kwa mtindo huu• Ngolo amekatwa Mguu baada ya kupata infection kwenye Bone marrow
• Rudigar amepelekwa Marekani kwa John Shaw (Physiotherapist) anatengenezewa Mguu wa Bandia
• Loftus Cheek amepatikana na Maambukizi ya Hepatitis B kwahiyo atarudi uwanjani baada ya mwaka mmoja baada ya kumaliza dozi ya ARV
• Odoi yupo Mental Hospital baada ya kuugua Kichaa kutokana na kukimbiwa na Demu wake.
Umeongea ukweli kamandaKuna watu humu wanadhani Chelsea hii ni timu mbaya. Lakini ukweli Chelsea hii so mbaya kama watu wanavyoidhani. Tunaenda international break tukiwa sawa points na Man U ambao wametumia £ 148 million kwenye usajili na Tottenham ambao wametumia £ 101.5 Million kusajili.
Timu imeanza msimu na kocha mpya, wachezaji wengi ni vijana na wapya ktk mfumo, some key player ni majeruhi na transfer ban.
Mimi nawakikishia wachezaji wakishaingia kwenye mfumo, key players wakapona, na kocha akaendelea kuadapt EPL tutawashangaza wengi. Wanaomponda Lampard kwa sasa hivi ni wajinga wasiojua kibarua chake kilivyo kigumu ktk mazingira ya sasa. Guadiola msimu wake wa kwanza EPL hakuwa na chellenge kama hizi alizonazo Lampard, lkn alikula vichapo akamaliza nafasi ya nne. Mazingira ya EPL kwa sasa si kama yale ya Guadiola wakati anaingia EPL. Liverpool, Man City, Tottenham, Arsenal wameimarika sana na hata makocha wa hizo timu wana uzoefu na EPL. Bado tupo ktk mkondo sahihi. Tutulie, tuivumilie timu na kocha. Tumepata raha mingi, tuipe muda timu msimu huu mmoja angalau
Knacho nfurahsha alikuadhibu 4