Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Tatizo linabaki kupata clean sheet. Sijui kama tutaachwa salama
Clean sheet siyo ttzo, tunachohitaji ni point tatuTatizo linabaki kupata clean sheet. Sijui kama tutaachwa salama
Usipopata Clean Sheet kwa hawa tena nyumbani unategemea ukapate Anfield ugenini au Etihad stadium?Clean sheet siyo ttzo, tunachohitaji ni point tatu
Kwakweli ni kazi sana. Kuunganisha mabeki na viungo ni kazi sanaYah na kante hayupo kuwalinda mabeki. Mpango ni kuongeza magoli mengi ya kufunga
Zuma kajifungaKiukweli Kipa anazingua sanaaa, yaani hakuna kipa mbovu kama azzibaraga
HahahahahahahahahTumeupiga mwingi sana
Unasema?Usipopata Clean Sheet kwa hawa tena nyumbani unategemea ukapate Anfield ugenini au Etihad stadium?
Point 3 uakika kipengele ni clean sheet.
Zuma kajifunga
WamekujaTammy walete Tammy ...mpira wa kwako leooo
This is.Chelsea...![]()

Kama shefflied anawatoa kamas mtafika wapiMbaki kununua wachezaji wa £ 8M tutaona matokeo. Mechi tatu zisikupe kiwewe, subiri mechi 10 tuongee vzuri