Chilogole
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 273
Time will tell brother kumbuka king ngwaba kakutahadhalishaHahahhaha
Leo emery kaahidi kuanzisha kikosi kazi, maana malalamiko yetu yalimfikia ,hivo sion tot akichomoka Leo ,
Time will tell brother kumbuka king ngwaba kakutahadhalishaHahahhaha
Leo emery kaahidi kuanzisha kikosi kazi, maana malalamiko yetu yalimfikia ,hivo sion tot akichomoka Leo ,
Uzuri emery ana tweeter na Instagram , hivo habari zangu zilimfikiaEmery mtu wa mineri
Tahadhari muhimuTime will tell brother kumbuka king ngwaba kakutahadhalisha
Ok endelea kuangalia mechi za maana za kina ZUMA Vs shelfield & NorwichSijawahi kupoteza muda wangu kuangalia mechi ya Arsenal. Naangaliaga highlights tu kwa sababu sitegemei kuona vitu vya ajabu.
Ila kweli mou ndio kaianzisha Chelsea ,Ok endelea kuangalia mechi za maana za kina ZUMA Vs shelfield & Norwich
Hapo mlikuwa mnacheza game za Championship na hao watoto bado wanawasumbua, next match vs Wolves,Liverpool,Soton. Haahaha! hii ndio EPL bhn .
Hii timu ni ya MOU mkuu, mrudisheni awaokoe, anaijua vizuri sababu kaianzisha yeye.
Kuna hatari akajipiga ban ya maisha iwapo jitihada za haraka hazitachukuliwa mapema , maana kama waliopanda daraja wanaokota point na magoli kwa Chelsea ,Kweli nimeamini Chelsea ina plastic fans, mfano mzuri Ollachuga Oc hivi kweli shelfield wanakufanya ujipe BAN mkuu?
Hata mwaka jana tulikuwa na kikosi kibovu lakini tuliwafanya na tuliwafanyizia ile mbaya Europa mliitaji sana ili muingie UCL lakini tuliwanyima. Hasira zote hizi ni kwa sababu ya pale BakuSijakejeli nimeongea fact, hivi nani asiyejua Chelsea ana kikosi kibovu msimu huu au ukweli hamtaki kusikia? Mbona nimekuwa nikiwaambia toka preseason ,
Sasa hata hao waliopanda daraja wanawakazia ,hata kutoa cleansheet mmeshindwa , mkikutana na mapapa je?
Ndio maana nahitimisha msimu huu mtaishia nafas ya 10-15
Arsenal hata aje kocha kutoka mbinguni na wachezaji kutoka peponi bado matokeo yatakuwa yaleyaleMm sitembei na matokeo mfukuni,
Lawama kwa unai mech iliyopita hazikwepeki, ni Arsenal fans worldwide lawama zetu ni hizo hizo , na waandishi kwenye press wakamtandika maswali Yale Yale , na akaahidi Leo wataanza wanaume
Na Leo spurz tunamnyoa bila wembe
Hasira zipi mkuu, hutakagi nichambue ?Hata mwaka jana tulikuwa na kikosi kibovu lakini tuliwafanya na tuliwafanyizia ile mbaya Europa mliitaji sana ili muingie UCL lakini tuliwanyima. Hasira zote hizi ni kwa sababu ya pale Baku
Sawa mtabiri tambitambi,Arsenal hata aje kocha kutoka mbinguni na wachezaji kutoka peponi bado matokeo yatakuwa yaleyale
Msimu huu lazima mmalize nafas ya 10-15Zouma anahitajika kuwa backup sijui ya Tomori na Christensen awe backup ya Rudiger, Azpi awe backup ya Reece James
Rudiger akirudi itakuwa afadhali na nashauri angecheza na tomori
reece naye akirudi Azpi apumzishwe umri effect umeanza mapema
hapo katikati mimi bado simuamini Jorgninho kwenye defensive phase mara afanye vizuri mara anaachia. Kiufupi mabeki hawako protected na DM, Kante pekee ndiye jibu. hata akichezaga kulia huwa anamsadia sana Jorginho na kumfanya Jo aonekane kucheza vizuri
Form ya Mount na Pulisic jana hazikuwa nzuri
Yaani hata yale magoli mawili jana mimi sikushangilia kwa sababu yalitokana na blunders za kijingajinga za hao Sheffield United (goli la kwanza blunder ya Kipa na Goli la Pili ni la mabeki kujichanganya mpaka wakamuachia Tammy mpira. Nilichofurahia kwa Tammy ni kwamba ni mshambuliaji anayejua kutumia hizo fursa zikitokea.
Hii international Break itatusaidia tukirudi angalau akina Kante, Pedro, Rudiger, CHO watakuwa fit kwa kucheza
Chelsea mbovu itabeba kombe na itamaliza top 4, Arsenal nzuri haitabeba kombe na mkijitahidi sana mtabakia EuropaMsimu huu lazima mmalize nafas ya 10-15
Nimetamka wapi hayo?Kwahiyo wewe una kikosi kizuri? Maajabu haya ,
Lose=0 pointDoesn't it feel like defeat?
Huyu tushamzoea lazima ajipe mapumziko ya siku tatu.Yani leo kama Hukushinda hawa Watu (Southern Highland na Ollachuga Oc ) watakufanya ujipige Ban kwenye Uzi wenu.