Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Mimi wewe natamani tucheze game zote hapo hapo kwenu na unakufa si chini ya goli nne,ZUMA naye ni beki??? PEPE Nani atamkaba kwa uozo uliopo hapo, nakukaribisha kesho uone wanaume wanavyocheza mpira.Hehee.. Umeshindwa kutaja timu yako hapo![]()
