Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard anajifunza
Boss hataki ingia hasara
Wachezaji wajinga
Kipa tuliiibiwa bora tungenunua kipa wa championship kuliko huyu fala
 
Lampard anajifunza
Boss hataki ingia hasara
Wachezaji wajinga
Kipa tuliiibiwa bora tungenunua kipa wa championship kuliko huyu fala
Hata beki ni mbovu, karibu kila mechi wanaruhusu goli 2.
 
We ulibeba lini kombe la Wanaume epl na Arsenane yako?

Utabeba lini kombe la vidume UEFA CHAMPIONS LEAGUE?

Ficha ujinga wako ukiwa mpole kama vile unanyolewa.
Mwaka huu Chelsea tutashuhudia ikirejea ilipotoka,nafas zake ni 10-15

Norwich & shefflied mmechukua point4,

Wolves, Leicester, westham, Burney,Watford, Everton


Mkikiwakazia hao ni droo au kipigo,

Top 6 mtawagawia WOTE point 4-6

Hivo mtaelekea nafas ya 10-15
 
Hata beki ni mbovu, karibu kila mechi wanaruhusu goli 2.
Mi ni Chelsea fan lakini si mwenye mahaba hadi nipasue akili zangu kiivyo.

Man Utd aliposuluhu tu tayari nilishaenda kuwapa pole nikijua huu mwaka ni wa maumivu kwangu so napaswa kuwa mpole tu maana sitakuwa na jipya lolote zaidi ya kutapatapa tu
 
Mwaka huu Chelsea tutashuhudia ikirejea ilipotoka,nafas zake ni 10-15

Norwich & shefflied mmechukua point4,

Wolves, Leicester, westham, Burney,Watford, Everton


Mkikiwakazia hao ni droo au kipigo,

Top 6 mtawagawia WOTE point 4-6

Hivo mtaelekea nafas ya 10-15

We hizo top umegawa point ngap?
We si nifunga 4 na kuchukua kombe mbele yako ? Kacheze na watoto wenzako huko alhamis
 
Roman inabidi afanye kitu hawa watoto watatushusha daraja
 
Beki zinatuangusha.
tungepata mabeki kama wa liver na mancity tungekuwa mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom