Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Predicted Linup against Sheffield United

Chelsea FC VS Sheffield United on 31 Aug 2019.png
 
Hivi ilikuwaje man u akatufunga?, Timu mbovu vile, naona na leo kadoda tena
 
St. Mary Stadium kuna nini huko?
Man U kweli wamechoka, Southampton wako pungufu na bado wakashindwa kuona wavu
 
Inaonesha jinsi gani mlivyo wabovu, yaani wolves, palace,soton wote wamechukua point kwa MUN, ila nyie vichwa ngumu mkaliwa vinne, haahaha!
We baragumu mpira hautafsiriki ivyo. Mechi yetu na wao ndio imeonyesha mapungufu yetu na mapungufu yao pia. Sisi tulikua tunapress lakini hatuzibi nafasi space zinakua kubwa mno na ndii maana ikipigwa counter moja imo. Timu yetu ilicheza kwa pressure kutaka kuwa prove watu wrong na ndipo Utd alipatia nafasi kutufunga.

Ngoja tukutane na hata nyie mtaona tutakacho wafanya.
 
Hivi kweli mnamatumaini labda ya kumfunga kidume WOLVES au SOTON au PALACE, maana hao wamemsimamisha mme wenu MUN, nyie mtaweza kweli?
 
We baragumu mpira hautafsiriki ivyo. Mechi yetu na wao ndio imeonyesha mapungufu yetu na mapungufu yao pia. Sisi tulikua tunapress lakini hatuzibi nafasi space zinakua kubwa mno na ndii maana ikipigwa counter moja imo. Timu yetu ilicheza kwa pressure kutaka kuwa prove watu wrong na ndipo Utd alipatia nafasi kutufunga.

Ngoja tukutane na hata nyie mtaona tutakacho wafanya.
Mpira unatafsiriwaje?? ungemsaidia kocha wako kutafsiri ile mechi msipigwe nne na wabovu MUN.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom