lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Stats zipi. Kumbuka sio kila stats data inamfanya mchezaji kuwa mzuri, kuna key stats. Jo mwaka jana alivyoanza kaanza vizuri lakini hapo katiklati labda kwa sababu ya uchovu hakuwa mzuri kabisa mpaka mechi tatu za mwisho ndipo akafufuka tena na kucheza vizuri sana mpaka Chelsea ika claim nafasi ya 3. Particulalry from Dec to April Jo hakuwa mzuri hata kama stats zinampendelea kwa sababu yeye ni key person akichoka akafanya blunder ndio maana Chelsea haikufanya vizuri tangu Dec. pamoja na bad form ya Alonso lakini pia Jo alikuwa so tired na wakati Fulani hata Sarri alikir kuwa Jo anachoka kwa sababu kila mechi alikuwa anacheza. Jo wa msimu huu at least kaanza vizuri regardless ya error niliyo-highlightIt happens to anyone na mm sijalaumu mtu. Ila nataka uangalie stats za msimu uliopita kwa mildfielders.
