Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Timu imejaa ma- PLASTIC FAN tu,Chelsea ni kama Azam Fc tu ya hapa Tanzania.Pumba tupu
Timu imejaa ma- PLASTIC FAN tu,Chelsea ni kama Azam Fc tu ya hapa Tanzania.Pumba tupu
Liverpool imeahindwa hata kupata plastic fans. Tishet mauzo yenu ni nusu ya mauzo ya tshet ChelseaTimu imejaa ma- PLASTIC FAN tu,Chelsea ni kama Azam Fc tu ya hapa Tanzania.
Acha ubishi usiokuwa na maana nakupa mtihani kidogo ebu fanya utafiti kwa eneo ulilopo utapata jibu kati ya mashabiki wa Liverpool na Chelsea ni timu gani inawashabiki wengi,Kisha urudi utupe majibu.Kuna Source moja sijui wameiokota wapi inaitwa Zeelo (Sifruri) ndiyo wanayojifariji
Chelsea baada ya Kuanzishwa 2005 ikadandiwa na washabiki wa Sekondari pamona na wale wa Manure na Arsenal waliokata tamaa leohii wanajifanya eti wana Fanbase yakuishinda Liverpool na Arsenal
Mashabiki wengi wa Liverpool walikwisha kufa kitambo na waliobaki wengi niwazee Sana,tafauti na chelseafc ambayo inamashabiki wengi vijana damu changa na ndiyo wengi duniani kuliko wazee.Ukweli gani??? Timu imekuja kwenye Existence ya 2004 mnataka kulazimisha vitu visivyowezekana Fanya research ndogo tu ya kutumia macho na akili Chelsea imeshazunguka Assia,America ,Europe Attendance ya Fans uwanjani zinakuaminisha una fans wengi kuliko Liverpool.
Yaani hata kifuta machozi hakunaHizo ndo club pendwa Africa. Liverpool inazidiwa hata na Man City. Usije ukasahau pia, Africa is the second most populated continent next to Asia. View attachment 1193621View attachment 1193622View attachment 1193623
Ndugu wenzako tunakupa data wewe unatupa porojoArsenal wanakushinda Fanbase Nigeria ambapo timu yako ya Chelsea ilikuwa na wachezaji wakutosha kutoka Nigeria vipi nchi kama Turkey, Switzerland, Ukraine mtakuwa na Fanbase.
Ngwaba unawachukia Waingereza kwa sababu mashabiki wa Liverpool wa UK wanawanyanyapaa na kuwazarau sana kwa hiyo kila mchezaji wa UK hata kama ni mzuri unawachukia tu - nimekufuatilia kwa hili na nina uhaka wa ninachokisemaSishangai hao kuitwa! Timu ambayo hata Henderson anacheza panga pangua...
Ndugu wenzako tunakupa data wewe unatupa porojo
UK fanbase
Mmetushinda pale UK ila nje ya UK Liverpool mko hoi huo ndio ukweli
- Liverpool
- Man U
- Arsenal
- Chelsea
Nchi za Ulaya Chelsea inaongoza kwa fanbase na hata nje ya Ulaya
Sijui hata nilibase kwenye nini. Latest social media followers za April 2019 hii hapa .Note, not UKMkuu UK fan base kubwa ni Man U then Arsenal kama sijakosea hapo.
| Rank | Team | Total Followers |
| 1 | Man United | 115,500,000 |
| 2 | Chelsea | 73,400,000 |
| 3 | Arsenal | 63,900,000 |
| 4 | Liverpool | 52,900,000 |
| 5 | Man City | 51,280,000 |
| 6 | Spurs | 16,310,000 |
| 7 | Leicester City | 10,290,000 |
| 8 | Everton | 5,572,000 |
| 9 | Newcastle United | 3,671,000 |
| 10 | Burnley | 984,000 |
Tulikuwepo wewe acha kuleta ujuaji apa.Chelsea haina mashabiki Vijana wacha kudanganya. Mashabiki wa Chelsea ni Watoto! Timu imeanzishwa 2004 ikapata Mashabiki 2005, Sasa Shabiki wa 2005 ni Mtoto huyo sio kijana.
Wakati Liverpool inabeba Uropa, FA na Carabao 2001 na rasmi Manure wakaanzisha Msemo wa "Mickey Mouse Cup" kuwa maarufu hapakuwa na Mshabiki wa Chelsea hata mmoja ndani ya Bongo (Bongo ni sehemu ya Afrika) bali tuliendelea kuchekwa na Washabiki wa Manure na Arsenal kuwa tumebeba 'Mickey Mouse Cup'...
Nyinyi niliwaona kuanza kuibuka Bongo 2005 na Duniani kwa ujumla kama Watoto wanaoanza sasa kupenda soka la uengereza na mukamkuta Mourinho mukaona ni Bonge la timu kumbe ni Kigenge kilichokutia hela za Mrusi tu.
Ninyi hamna fan base yeyote ya kuishinda Chelsea. Wangesema Man united apo sawa ..ninyi Liverpool tunawakimbiza mbali sana kwenye fan base ..ivyo kaa kwa kutulia..Hahahahahahahahah Fanbase mnaitowapi nyie mfano nchi kama Nigeria Chelsea ilikuwa na wachezaji wa nchi hiyo kama Obi ,Moses still bado Fanbase ya Chelsea Nigeria haipo,Sasa kama hiyo pamoja na kuwa na players wao lakini bado fan hampati vipi nchi kama Turkey ,Switzerland, Ukraine ,Bulgaria, Denmark, Sweden mtakuwa na Fanbase kweli??
Kwa iyo walioko Liverpool sio plastic fansKwa 10 past years Chelsea imepata Plastic fan wengi sana na huo ndio ukweli Tazama Attendance ya Mashabiki wa Chelsea kwenye Pre season kuanzia Asia ,America, Europe ndio utajua Chelsea ina Plastic fans wengi,Msimu wa 2014 mligawa Tiketi bure kwenye pre season Australia na still bado mashabiki hawakwenda uwanjani hiyo ndio maana ya Plastic fans msidanganyike Chelseaa haina Real fans.


aise wewe ni .....hahaha ili uwe origino fan unatakiwa ushabikie Liverpool tu?WANAUME WAMEKAA WANAJADILI TIMU YETU CHELSEA WEWE UNAPITA NA KANGA MOJA IMELOWA MAJI





HahahahahahahahahaLiverpool imeahindwa hata kupata plastic fans. Tishet mauzo yenu ni nusu ya mauzo ya tshet Chelsea
Uku mtaani kwetu fans wa Liverpool wanaesabika yani ..ukienda kibanda goli likifungwa wanashangilia watu watano tuAcha ubishi usiokuwa na maana nakupa mtihani kidogo ebu fanya utafiti kwa eneo ulilopo utapata jibu kati ya mashabiki wa Liverpool na Chelsea ni timu gani inawashabiki wengi,Kisha urudi utupe majibu.




umefurahia kupitapita ikiwa imeloa shauri yakoHahahahahahahahah Nimejikuta Nimefurahi sana
watano wengi sana nakumbuka advance shule nzima alikuwepo mmoja tu wa Liverpool sasa hao watano wanatoka wapiUku mtaani kwetu fans wa Liverpool wanaesabika yani ..ukienda kibanda goli likifungwa wanashangilia watu watano tu![]()