DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
suala la msingi hapa wewe ni ANDADOGI LA BULUUChelsea wazee wa UEFA, MAPISHI tuwaachie Arsenal
suala la msingi hapa wewe ni ANDADOGI LA BULUUChelsea wazee wa UEFA, MAPISHI tuwaachie Arsenal
Umeambiwa forbes wanapublish kila kitu? Tatizo unabishia data bila data. Kitu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanyaTravel - zeelo sio source ya kueza kutegemea mtu kama mimi..
Angalau ungeweka Forbes ingemake sense
The juniors overtaking the so called seniors, its a shock to them because they didn't expect. Huo ni ukweli wasiopenda kuujua na kuusikia.Kajiridhishe google. Fan base ya Liverpool ni kidogo kuliko ya Chelsea
Teh.Travel - zeelo sio source ya kueza kutegemea mtu kama mimi..
Angalau ungeweka Forbes ingemake sense




Kuna vitu vinachekesha sana,Mtu anakuja na data za ajabu Manchester city ana mashabiki wengi kuliko Liverpool, Kuna pre season moja City alienda Australia wakawaambia mashabiki waingie Bure uwanjani na bado uwanja hata robo haukujaa ,Leo anatokea mtu na twakimu zake za TWAWEZA anasema City ana mashabiki wengi kuliko Liverpool.Manchester City haijawahi kuwa na Washabiki wa kujaza uwanja wao wa Nyumbani waje wawe na mashabiki wa kuizidi Liverpool?
The juniors overtaking the so called seniors, its a shock to them because they didn't expect. Huo ni ukweli wasiopenda kuujua na kuusikia.
Kuna vitu vinachekesha sana,Mtu anakuja na data za ajabu Manchester city ana mashabiki wengi kuliko Liverpool, Kuna pre season moja City alienda Australia wakawaambia mashabiki waingie Bure uwanjani na bado uwanja hata robo haukujaa ,Leo anatokea mtu na twakimu zake za TWAWEZA anasema City ana mashabiki wengi kuliko Liverpool.
Na hapa katafuta kila source ya kumsapoti imekosa lazima apotee
Ukweli gani??? Timu imekuja kwenye Existence ya 2004 mnataka kulazimisha vitu visivyowezekana Fanya research ndogo tu ya kutumia macho na akili Chelsea imeshazunguka Assia,America ,Europe Attendance ya Fans uwanjani zinakuaminisha una fans wengi kuliko Liverpool.The juniors overtaking the so called seniors, its a shock to them because they didn't expect. Huo ni ukweli wasiopenda kuujua na kuusikia.
Contrary na signature yakeUmeambiwa forbes wanapublish kila kitu? Tatizo unabishia data bila data. Kitu ambacho mtu mwenye akili hawezi kufanya
Kiashiria pekee cha kujua pimajoto ya mashabiki duniani ni social media, Ktk nchi husika mfanop fans wa club England unaweza kujua kwa ticket zinazonunuliwa angalau estimated number of funsMimi sio muamini wa kila ninachokiona mitandaoni kama nyinyi
Nyinyi mukiona chochote mitandaoni iwapo tu kinasupport Chelsea basi munakichukua na kukiamini even from unknown source.
Kwahiyo hakuna source yoyote inayoweza kuthibitisha wingi au uhaba wa Mashabiki kwasababu Hakuna registration yoyote inayofanywa ili uwe mshabiki that's why hakuna timu inayojua idadi ya washabiki wake.
Kwahiyo hizo figure mulizojiwekea ni nonsense tu
LIVEPOOL mashabiki wenu wengi walikuwa ni wazee na wengi wamefariki.
Vijana walishindwa kushabikia club ambayo ina miaka zaidi ya 20 haijabeba EPL
Thus why MAN U, CHELSEA NA ARSENAL zina shabiki wengi vijana kuliko LIVERPOOL ambao wengi marehemu.
Siyo kila kitu Chelsea tunakiamini. Na uzuri ni kwamba watu hatujuani. So hatujuani career, analytical skills, experience nk. Kwa hiyo your conclusion that Chelsea fans takes everything from www and believe it, is a poor notion. We have a lot here who can recognise the domain names easily and make the exploration on which location and source the DNS is, we don't rely on mere talks.Mimi sio muamini wa kila ninachokiona mitandaoni kama nyinyi
Nyinyi mukiona chochote mitandaoni iwapo tu kinasupport Chelsea basi munakichukua na kukiamini even from unknown source.
Kwahiyo hakuna source yoyote inayoweza kuthibitisha wingi au uhaba wa Mashabiki kwasababu Hakuna registration yoyote inayofanywa ili uwe mshabiki that's why hakuna timu inayojua idadi ya washabiki wake.
Kwahiyo hizo figure mulizojiwekea ni nonsense tu
Since hii miaka 10 ambayo Chelsea imezaliwa mmetengeneza vi plastic fans vya uongo na ukweli kutoka Arsenal, United na Liverpool,timu ambayo fans base yake pale England imezidiwa na Leeds united iliyopo Championship Leo mnatuambia Chelsea ina fans base wengi kuliko Liverpool.
Chelsea haina mashabiki Vijana wacha kudanganya. Mashabiki wa Chelsea ni Watoto! Timu imeanzishwa 2004 ikapata Mashabiki 2005, Sasa Shabiki wa 2005 ni Mtoto huyo sio kijana.
Wakati Liverpool inabeba Uropa, FA na Carabao 2001 na rasmi Manure wakaanzisha Msemo wa "Mickey Mouse Cup" kuwa maarufu hapakuwa na Mshabiki wa Chelsea hata mmoja ndani ya Bongo (Bongo ni sehemu ya Afrika) bali tuliendelea kuchekwa na Washabiki wa Manure na Arsenal kuwa tumebeba 'Mickey Mouse Cup'...
Nyinyi niliwaona kuanza kuibuka Bongo 2005 na Duniani kwa ujumla kama Watoto wanaoanza sasa kupenda soka la uengereza na mukamkuta Mourinho mukaona ni Bonge la timu kumbe ni Kigenge kilichokutia hela za Mrusi tu.
Hahahahahahahahah Fanbase mnaitowapi nyie mfano nchi kama Nigeria Chelsea ilikuwa na wachezaji wa nchi hiyo kama Obi ,Moses still bado Fanbase ya Chelsea Nigeria haipo,Sasa kama hiyo pamoja na kuwa na players wao lakini bado fan hampati vipi nchi kama Turkey ,Switzerland, Ukraine ,Bulgaria, Denmark, Sweden mtakuwa na Fanbase kweli??Kuna mambo ukiyaongea unaonekana mpumbavu na mtu asiyejua historia ya nchi hii.
Kwanza kabla ya yote wewe ni mtoto mdogo pia aliyemaliza diploma ya afya juzi juzi hapa. Kwa hiyo huwezi kuwaita wanajukwaa wote hapa kuwa ni watoto.
Miaka ya 2000 mwanzoni ndipo watu kidogo angalau walianza kumiliki TV kabla ya hapo TV ilikuwa na mtu mmoja mmoja. Na hata miaka ya 80s na early 90s TV zilikuwa za wachache sana. Kwa hiyo watu wengi hawakuwa wikishabikia mpira wa Ulaya, maana walikuwa hawauoni. Watu walipoanza kumiliki TV kwenye late 90s na early 2000 ndipo watu wakaanza kufuatilia mpira wa Ulaya. Mbaba wa watu ananunua TV mwaka 2003 anafurahia mpira wa Chelsea anaanza kuusuport. Kwa hiyo usijidanganye kuwa kila Shabiki wa Chelsea ni mtoto. Sisi tumekua mashuleni hakuna talk za mpira wa Ulaya, sasa hivi ndo zimepamba moto.
Kila maeneo niliyokaa, majiji, manispaa kwa miji. Utakuta Shabiki wa Chelsea ni 5 wa man U 7alafu 1 ndo Liverpool. Na hii ni kwa hapa Tanzania ambako hatujawahi kuwa na mchezaji wa kuichezea Liver, Man U au Chelsea. Sasa assume hali ilivyo magharibi ambako Drogba, Essien, Ettoo na influential player wengine wametoka na wameucheza kwenye vilabu tajwa hapo juu.
siyo Nigeria tu! kwa taarifa yako ni kwamba hakuna timu inaizidi fanbase Chelsea kwa Africa Magharibi.Hahahahahahahahah Fanbase mnaitowapi nyie mfano nchi kama Nigeria Chelsea ilikuwa na wachezaji wa nchi hiyo kama Obi ,Moses still bado Fanbase ya Chelsea Nigeria haipo,Sasa kama hiyo pamoja na kuwa na players wao lakini bado fan hampati vipi nchi kama Turkey ,Switzerland, Ukraine ,Bulgaria, Denmark, Sweden mtakuwa na Fanbase kweli??
Acha porojo leta takwimu zinazosema hayo unayoandika. Unapanic vitu vidogo mnoUkweli gani??? Timu imekuja kwenye Existence ya 2004 mnataka kulazimisha vitu visivyowezekana Fanya research ndogo tu ya kutumia macho na akili Chelsea imeshazunguka Assia,America ,Europe Attendance ya Fans uwanjani zinakuaminisha una fans wengi kuliko Liverpool.