Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahahahahahah Fanbase mnaitowapi nyie mfano nchi kama Nigeria Chelsea ilikuwa na wachezaji wa nchi hiyo kama Obi ,Moses still bado Fanbase ya Chelsea Nigeria haipo,Sasa kama hiyo pamoja na kuwa na players wao lakini bado fan hampati vipi nchi kama Turkey ,Switzerland, Ukraine ,Bulgaria, Denmark, Sweden mtakuwa na Fanbase kweli??
Hizo ndo club pendwa Africa. Liverpool inazidiwa hata na Man City. Usije ukasahau pia, Africa is the second most populated continent next to Asia.
_84714675_africa_teamsxx_01.jpeg
_84714680_africa_teamsxx_04.jpeg
_84714678_africa_teamsxx_03.jpeg
 
For football fans in Africa, the UK's English Premier League (EPL) is king, the ultimate championship, their main place of their worship. The global football brand is followed by more than a billion people around the world and 260 million of these are in Africa.

As the 2015-16 season kicks off, bars and cafes from Cape Town to Cairo will be preparing for an influx of fans, getting ready to follow the action on big screens.

But which team is the most popular on the continent?

We may never be able to give a definitive answer, though research carried out by Twitter gives us a fair idea, taking the total number of people in each country who follow official Twitter accounts of Premier League teams, and then breaking those figures down to give percentages for each team:

West: Chelsea

[https://ichef]

There is no doubt Chelsea is the club of choice in this region.

You cannot talk about the Premier League in West Africa without thinking of Didier Drogba, Solomon Kalou, Samuel Eto'o, Victor Moses, Michael Essien and John Mikel Obi, all West Africans who have played for The Blues.

However, Drogba stands out because of his achievements both on and off the field. Of course, he was a legendary striker for the club, scoring the winning penalty to clinch the Champions League for Chelsea in 2012, and also becoming the first African player to score 100 EPL goals in the same year.

But he is also widely revered in his native Ivory Coast for his peace-building effortsafter a conflict broke out in 2010-2011, and has started his own foundation to promote health and education in the country.

East: Arsenal

[https://ichef]

The colour of choice for East Africa is red for Arsenal. Much of the Gunners' popularity here can be put down to the "Invincibles", the record-breaking team of the 2003-04 season which won the league without losing a single match, as part of a 49-game unbeaten run.

A strong showing of African players like Nwankwo Kanu, Emmanuel Adebayor, Kolo Toure and Lauren made them even more popular. Kanu is surely one of the main reasons for Arsenal's popularity in Nigeria as well.

Surprisingly only one East African has ever played in the Premier League - Kenya and Southampton's Victor Wanyama.

South: Manchester United

[https://ichef]

It is not a surprise that Manchester United is the most popular club in southern Africa.

They are the most successful team in the history of the EPL, winning 13 titles since the league started in 1992.

They also signed one of South Africa's biggest stars, Quinton Fortune, who played for the Red Devils for seven years.

He is also one of the many ex-players who travel to the region as a brand ambassador every year. South Africa was the first country in Africa to have an official Manchester United Supporters Club.

North: Arsenal

[https://ichef]

For North Africans Arsenal is the club of choice. The Gunners have solid representation in Morocco, Algeria and Tunisia.

Active fan clubs in these countries have helped popularise the north London club through activities such as the annual fun run "Be a Gunner. Be a Runner".

But in Egypt, it is Chelsea which rules the roost - thanks to Mohamed Salah's $17m (£11m) move to the English champions in January 2014.

Kwa point yako ulimaanisha kama Nigeria hatuna fan base ambako Michael alichezea basi hatuwezikuwa na fan base ya kuzidi Liverpool. Ndo nikakupa data hapo
Sijui umekasirika nini?
Mimi Nimeongelea Nigeria hizo zingine ulizoleta ni porojo.
 
Kwa point yako ulimaanisha kama Nigeria hatuna fan base ambako Michael alichezea basi hatuwezikuwa na fan base ya kuzidi Liverpool. Ndo nikakupa data hapo
Sijui umekasirika nini?
Arsenal wanakushinda Fanbase Nigeria ambapo timu yako ya Chelsea ilikuwa na wachezaji wakutosha kutoka Nigeria vipi nchi kama Turkey, Switzerland, Ukraine mtakuwa na Fanbase.
 
Kila mtu kuingia ktk timu fulani kuishabikia alikuwa na sababu zake na so zote zinafanana. Alafu kama wewe ni mtu wa mpira utagundua kwamba ukishaipenda timu na kuielewa falsafa yake huwezi kuiacha. Wapo wenye tabia ya kuhama timu hasa kama haifanya vzuri. Lakn hili ni too psychological maana utakuta mtu huyo hana uwezo wa kuncentrate na kitu kimoja hata kwenye arena nyingine.

Alafu kama hao mashabiki ni plastic fans. Mbona Liverpool hawana hata hao plastic fans kama ilivyo kwa Man U, Chelsea na Arsenal?

Hivi unajua kuwa dunia ina wapenzi wa soka at least 1billion? Na je wajua kuwa kati ya hao about 260 millions yaani zaidi ya robo wako Africa?

Unajua katika mauzo ya Tshirt ni nani huwa wananunua hizo jezi? Ni hawa unaowaita plastic fans
Hahahahahahahahah Hao ndio PLASTIC FANBASE tunaowasema sasa,Mashabiki wanashabikia timu kwa sababu ya mtu sio kwa mapenzi ya timu.
 
Chelsea ni ya pili Nigeria. Je unajua population yake? Unaweza kuilinganisha na population ya Swaziland kwa ukubwa?
Arsenal wanakushinda Fanbase Nigeria ambapo timu yako ya Chelsea ilikuwa na wachezaji wakutosha kutoka Nigeria vipi nchi kama Turkey, Switzerland, Ukraine mtakuwa na Fanbase.
 
Kila mtu kuingia ktk timu fulani kuishabikia alikuwa na sababu zake na so zote zinafanana. Alafu kama wewe ni mtu wa mpira utagundua kwamba ukishaipenda timu na kuielewa falsafa yake huwezi kuiacha. Wapo wenye tabia ya kuhama timu hasa kama haifanya vzuri. Lakn hili ni too psychological maana utakuta mtu huyo hana uwezo wa kuncentrate na kitu kimoja hata kwenye arena nyingine.

Alafu kama hao mashabiki ni plastic fans. Mbona Liverpool hawana hata hao plastic fans kama ilivyo kwa Man U, Chelsea na Arsenal?

Hivi unajua kuwa dunia ina wapenzi wa soka at least 1billion? Na je wajua kuwa kati ya hao about 260 millions yaani zaidi ya robo wako Africa?

Unajua katika mauzo ya Tshirt ni nani huwa wananunua hizo jezi? Ni hawa unaowaita plastic fans
Kwa 10 past years Chelsea imepata Plastic fan wengi sana na huo ndio ukweli Tazama Attendance ya Mashabiki wa Chelsea kwenye Pre season kuanzia Asia ,America, Europe ndio utajua Chelsea ina Plastic fans wengi,Msimu wa 2014 mligawa Tiketi bure kwenye pre season Australia na still bado mashabiki hawakwenda uwanjani hiyo ndio maana ya Plastic fans msidanganyike Chelseaa haina Real fans.
 
Mechi za pre season nimefuatilia sana. Kwa Chelsea zimekuwa za mafanikio kule Japan. Australia mechi ya Perth glory na Chelsea ilijaza. Sasa sijui unazungumzia Chelsea ipi labda.
 
Alafu uelewa wako kwenye mpira ni kidogo. Hivi Everton akija hapa kucheza mpira na Simba, ni nani ana ruhusa ya kusema mashabiki waingie bure? Japo hilo la mashabiki kuingia bure sijawahi kuliskia, but it doesn't make sense.

Chelsea itaendelea kujikusanyia mashabiki loyal wa kutosha. Juzi hapa wamarekani wanasema walikuwa hawaifuatilii ligi ya Uingereza ila kwa sababu ya Pulisic wataanda kuifatilia na hasa Chelsea. Na ndo maana pre season za hivi karibuni mnajitahidi kwenda Marekani maana mnajua Asia na Africa ziko under Chelsea na Man U
Kwa 10 past years Chelsea imepata Plastic fan wengi sana na huo ndio ukweli Tazama Attendance ya Mashabiki wa Chelsea kwenye Pre season kuanzia Asia ,America, Europe ndio utajua Chelsea ina Plastic fans wengi,Msimu wa 2014 mligawa Tiketi bure kwenye pre season Australia na still bado mashabiki hawakwenda uwanjani hiyo ndio maana ya Plastic fans msidanganyike Chelseaa haina Real fans.
 
Eti Uefa where you belong!
Wakati kushiriki hiyo CL yenyewe Chelsea imeanza mwaka 2000?
Kabla ya Hapo Chelsea ilikuwa sawa na Bolton haijui hata CL ni nini wakati wengine walishaichoka.

Hawa washabiki wa Chelsea bhana! Kwakutaka ugiant wa lazima wala wasiokuanao!!!

Na hii nayo ni point umeandika. Acha chuki na wivu zisizokuwa na maana
 
Sishangai hao kuitwa! Timu ambayo hata Henderson anacheza panga pangua...

Adi hawa unawaonea wivu kuitwa timu ya Taifa. Mkuu kwani ni vibaya wakiitwa. Mbona wachezaji wa liver wameitwa wengi timu ya taifa. Acha kujitoa ufahamu
 
Wanazi wa Chelsea hilo kundi nikiangalia kwa kweli hamtoboi

Valencia anategemea sana hela za UEFA and the same to Ajax.

Valencia wamesajili vizuri hili dirisha , Ajax najua mnawafahamu

Hizi kelele zenu na tabiri zenu uchwara tumezizoea. Siku zote mnakuwa na ushindi mdomoni. Wakati mpira unachezwa uwanjani.
 
Since hii miaka 10 ambayo Chelsea imezaliwa mmetengeneza vi plastic fans vya uongo na ukweli kutoka Arsenal, United na Liverpool,timu ambayo fans base yake pale England imezidiwa na Leeds united iliyopo Championship Leo mnatuambia Chelsea ina fans base wengi kuliko Liverpool.

Mkuu si ulete takwimu mbona rahisi tu.
 
Kwa 10 past years Chelsea imepata Plastic fan wengi sana na huo ndio ukweli Tazama Attendance ya Mashabiki wa Chelsea kwenye Pre season kuanzia Asia ,America, Europe ndio utajua Chelsea ina Plastic fans wengi,Msimu wa 2014 mligawa Tiketi bure kwenye pre season Australia na still bado mashabiki hawakwenda uwanjani hiyo ndio maana ya Plastic fans msidanganyike Chelseaa haina Real fans.
Pumba tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom