Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eti Uefa where you belong!
Wakati kushiriki hiyo CL yenyewe Chelsea imeanza mwaka 2000?
Kabla ya Hapo Chelsea ilikuwa sawa na Bolton haijui hata CL ni nini wakati wengine walishaichoka.

Hawa washabiki wa Chelsea bhana! Kwakutaka ugiant wa lazima wala wasiokuanao!!!
Mkuu wewe hunaga point ya maana. Kwani unaposema tumeanza mwaka 2000 labda ni dhambi kuanza mwaka huo? Kama kuna timu zimeichoka tayari kwanini bado zinashiriki mpaka sasa.

Ama kweli chuki ni chuki hata ufanye nini
 
Wanazi wa Chelsea hilo kundi nikiangalia kwa kweli hamtoboi

Valencia anategemea sana hela za UEFA and the same to Ajax.

Valencia wamesajili vizuri hili dirisha , Ajax najua mnawafahamu
 
Tukikaza tunapita vizuri. Ajax wa msimu uliopita siyo huyu wa msimu huu. Kauza baadhi ya wachezaji wake muhimu sitegemei kuuona ule moto wake wa msimu uliopita. Changamoto labda kwa Valencia.
 
Wanazi wa Chelsea hilo kundi nikiangalia kwa kweli hamtoboi

Valencia anategemea sana hela za UEFA and the same to Ajax.

Valencia wamesajili vizuri hili dirisha , Ajax najua mnawafahamu
Changamoto labda kwa Valencia huyo Ajax wa msimu huu hamna changamoto ataleta.
 
Mkuu wewe hunaga point ya maana. Kwani unaposema tumeanza mwaka 2000 labda ni dhambi kuanza mwaka huo? Kama kuna timu zimeichoka tayari kwanini bado zinashiriki mpaka sasa.

Ama kweli chuki ni chuki hata ufanye nini

Ndiyo wambie hao Fanboys wenzako warekebishe kauli zao kujifanya kuwa eti Chelsean ni Magiant wa Uefa wakati Magiant wenyewe wamenyamaza.
 
Katika mara 17 nilizoiona Chelsea imeshiriki mara 15 kabla ya hapo sijui. Sasa sijui ulitaka nisemeje?
Eti Uefa where you belong!
Wakati kushiriki hiyo CL yenyewe Chelsea imeanza mwaka 2000?
Kabla ya Hapo Chelsea ilikuwa sawa na Bolton haijui hata CL ni nini wakati wengine walishaichoka.

Hawa washabiki wa Chelsea bhana! Kwakutaka ugiant wa lazima wala wasiokuanao!!!
 
Hujawahi jiuliza kwa nn mashabiki Wa Chelsea ni wengi kuliko mabingwa wa Ulaya mara nyingi Uingereza Liva?
Eti Uefa where you belong!
Wakati kushiriki hiyo CL yenyewe Chelsea imeanza mwaka 2000?
Kabla ya Hapo Chelsea ilikuwa sawa na Bolton haijui hata CL ni nini wakati wengine walishaichoka.

Hawa washabiki wa Chelsea bhana! Kwakutaka ugiant wa lazima wala wasiokuanao!!!
 
Unajua kama uko Jukwaa LA Chelsea? Au unafikiri hii ni Arsenal au Man U?
Wanazi wa Chelsea hilo kundi nikiangalia kwa kweli hamtoboi

Valencia anategemea sana hela za UEFA and the same to Ajax.

Valencia wamesajili vizuri hili dirisha , Ajax najua mnawafahamu
 
Ndiyo wambie hao Fanboys wenzako warekebishe kauli zao kujifanya kuwa eti Chelsean ni Magiant wa Uefa wakati Magiant wenyewe wamenyamaza.
Nimetumia neno "where we belong" ni kwa sababu mara 17 katika karne hii ya 21 tumeshiriki 15. Tatizo lako kubwa huwezi kusoma comprehension.
 
Ndiyo wambie hao Fanboys wenzako warekebishe kauli zao kujifanya kuwa eti Chelsean ni Magiant wa Uefa wakati Magiant wenyewe wamenyamaza.
Hujalazimishwa kunyamaza. Kama unajiona na wewe ni moja kati ya magiant nyanyuka uongee. Huoni Arsenal kakaa kimya huko? Kwa sababu anajua siyo level zake hizi
 
Norwich tu anawatoa kinyesi Ajax ndio mtamuweza eti Ajax ya msimu huu nyie msimu huu ndio mna timu sasa.
Yan katika watu wa kukaa kimya nadhani ni Liverpool. Nyie ni suala la muda tu mnaanza kuchechemea. Huu ndio meanzo wa msimu ushaanza kujudge hivi naomba tukutane mwisho wa msimu wakati kila mtu mtu anapiga mahesabu yake ndio tutaelewana vizuri.
 
SAWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom