Hivi CHO akirudi atacheza namba gani au atamweka benchi nani?
Kama right wing, pedro yuko kwenye form nzuri
Kama ni attacking midfield, yuko Mason Mount na Lampard kamwamini 1000% na sub yake ni Ross!
RLC akija atacheza wapi au atamweka nani benchi, Mount ndio huyo kawahi
Ross itabidi acheze kulia na Kante
Kovacic na Jourginho
RLC na Mount
CHO itabidi apambane na kumzidi Pedro ndio option pekee
Huku kushoto Pulisic atapambana na Willian
Mbele
Giroud, Tammy na Batshuayi watapambana kweli kweli Kwani Batshuayi kakataa msimu huu kutolewa mkopo kasema tutabanana mjini
Kule left back Emerson kashamweka benchi Alonso
Kule kulia kuna kila dalili Reece James atamweka benchi kapten Azpi
Rudiger ni wazi atamweka benchi Christiansen
Zouma na Tomori watapambana kweli kweli at least nyuma hakuna vita vikubwa kama za midfields
Kenedy naye yupo winger au midfield na sijui atawekwa wapi huyu kijana