Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha ushabiki maandazi
Mimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire
 
Lampard ana maamuzi magumu sana nashindwa namna nzuri ya kumuelezea.
Abraham akaona awachomolee betri
.then kaboom
IMG_20190814_163911.jpeg
 
Washambuliaji bado sana. Hawana timing positioning wakati wa mashambulizi hasa za kross
Jana Kante asingecheza tungepwaya sana
Kwenye penalties Lampard angemwingiza Kabalero huyu jamaa angepangua sio chini ya 2
Jana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.

Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..

Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..

Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..

#KTBFFH..
 
Poleni sana, mwisho wa siku mshindi ni mmoja anahitajika.

Wakati mwingine tena.
Ndio kiongozi hongereni sana ..najua hamkutegemea kushinda kwa tabu kiasi icho ..may be mulitegemea mteremko kama aliyopata Manure ..ila uo mpira bana Ku assume kabla ya mechi ndo haifai..

Hongereni sana..
 
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu

Haya ni maneno tu mkuu
 
Sawa mkuu. Tutaricover. Naamini jana umeumia chelsea kutoa sare na liver. Hamkuamini kilichotokea uwanjani.

Ngoja niachie hapo
 
Jana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.

Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..

Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..

Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..

#KTBFFH..
Nilijua anamallizia azplicueta penatiya mwisho
 
Lampard atakuja kuwa kocha mzuri , anahitaji muda ,uvumilivu ,

Anatakiwa apate changamoto kwa kula vipigo kwanza akomae,

Next stop kwa Leicester sion mkitoboa
 
Mimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire
Bado Loftus namkubali dogo tuko vizuri ,ni muda kidogo watatuelewa ila wachezaji wetu wanapata injuries kwa urahisi haiwezekani Odoi,Loftus,N'golo,Willian,Rudiga wote wamepata injuries at the same kuna jambo haliko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom