Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,692
Leo mtajipiga ban tena nawakumbusha
Mkuu hakuna anayekimbia hapaLeo mtajipiga ban tena nawakumbusha
Mkuu tukiwaacha humu watambe wanapiga kelele sana fikiria kama wanayo team walipaswa kucheza Super Cup Leo ,tutawakabiri nyumba kwa nyumba,mlango kwa mlango ,kitanda kwa kitanda hautuwezi kuona team yetu ikizomewa na team ya 5 EPL .Wewe una majibu ya dharau
Nashabikia CCM chama cha Babu yako na Bibi yako mzaa Mama yako na Baba yako .CCM oyeee na Chelsea SafiiiiKashabikie siasa /CCM mpira hujui.... #GGMU
Labda ww ila kuna nduguzo mkipigwa tu wanajipiga banMkuu hakuna anayekimbia hapa
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha darajaMkuu tukiwaacha humu watambe wanapiga kelele sana fikiria kama wanayo team walipaswa kucheza Super Cup Leo ,tutawakabiri nyumba kwa nyumba,mlango kwa mlango ,kitanda kwa kitanda hautuwezi kuona team yetu ikizomewa na team ya 5 EPL .
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
UEFA hata astonvilla anayo Unaiongelea cheltako ambayo hii imeanza 2005?Unamuongelea arsenal ambae UCL antazmga picha z tuzo tu
Hao wapo wapo tu hawana uelekeo wowote wanasubiri timu kubwa ifungwe ndio waamkeMashabiki wa Arsenal ni wakimbizi, wamejazana huko Liverpool na Mancity na wengine wamejificha
Baada ya usajili wa Pepe wachache wameamua kujitokeza kimya kimya
Nipo kiongozi nipo.. ni majukumu tu ya kitaifa yamenibana
Leo Kante hayupo, nakupa pole mapema kabisa. Liverpool atakupa kipigo kimoja kibaya mno. Lampard amerithi timu wakati mbaya sana,atafukuzwa asubuhi kabisa. | |
Umeamua kujifariji kwa maneno hayoMashabiki wa Arsenal ni wakimbizi, wamejazana huko Liverpool na Mancity na wengine wamejificha
Baada ya usajili wa Pepe wachache wameamua kujitokeza kimya kimya
arsenal have never won UCLHiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja