Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Match haikua na sababu yakuipeleka matuta ilikua chelsea aimalize mapema tu kombe la kwanza sasa kama lampard amekosa kombe hili atachukua lipi tena msimu huu.

Abraham goal la mwisho kakosa yeye penalty kakosa yeye anazingua sana.Match na man u kagongesha mwamba yeye,kujiangusha yeye makosa yaliyopelekea goal la 3.

Lakini mpaka hapa mapungufu niliyoyaona kwa lampard anashindwa kuwahimiza wachezaji waongeze kasi ya mashambulizi viungo wako vizuri lakini maforward du wanatia huruma ndowanaochelewesha ushindi.
 
Match haikua na sababu yakuipeleka matuta ilikua chelsea aimalize mapema tu kombe la kwanza sasa kama lampard amekosa kombe hili atachukua lipi tena msimu huu.

Abraham goal la mwisho kakosa yeye penalty kakosa yeye anazingua sana.Match na man u kagongesha mwamba yeye,kujiangusha yeye makosa yaliyopelekea goal la 3
pole wana chelsea
ila jamaa akipata mtu mzuri wa kumshauri atafanya mazuri sana.
 
Abra amechomoa bettriii duuu lakini sio mbaya faina ilikuwa tamu sana na wanaotubeza waendelee tu ila wajue kabisa kupigwa na manure sio kigezo cha Chelsea kuwa kwasukwasu mwisho Wa msimu naiona the blues ikiwa kwenye top four .....Chelsea ni fire
Marefa wamezingua mpaka wapigiwe simu
 
Chelsea hii ya lampard ina vitu vichache vya kuongeza ikamilike.
Nimeiangalia mechi 2 na waacheza attacking football, tiktak.
Wakiiarisha central defence watakiwa sawa.
 
Another unlucky day for us next stop Leicester natumaini ushindi wetu wa kwanza baada ya kupitia tanuru la moto ,dhahabu imekwisha ng'aa
 
Washambuliaji bado sana. Hawana timing positioning wakati wa mashambulizi hasa za kross
Jana Kante asingecheza tungepwaya sana
Kwenye penalties Lampard angemwingiza Kabalero huyu jamaa angepangua sio chini ya 2
 
Mheshimiwa mgeni rasmi hao unaowaona pale ni mashabiki wa Chelsea wamesogea karibu na betri .
IMG_20190815_055918.jpeg
 
Mimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire
Nikweli dogo alionekana kabisa kutokujiamini ile angepewa hata Pedro angefunga sio mbaya leo ndo tumejua namna timu ilivyo Mungu ibariki Chelsea ifanikiwe zaidi ya hapa
 
Wewe jamaa hata kama kundini kwenu wanakupiga vita uko mstaarbu sana na unaheshimu matokeo ya uwanjani
Mashabiki wa Chelsea popote mlipo
Geukanieni na msemo "sisi ni washindi"
Leo mmecheza vyema sana
 
Una matatizo makubwa kichwani
Match haikua na sababu yakuipeleka matuta ilikua chelsea aimalize mapema tu kombe la kwanza sasa kama lampard amekosa kombe hili atachukua lipi tena msimu huu.

Abraham goal la mwisho kakosa yeye penalty kakosa yeye anazingua sana.Match na man u kagongesha mwamba yeye,kujiangusha yeye makosa yaliyopelekea goal la 3.

Lakini mpaka hapa mapungufu niliyoyaona kwa lampard anashindwa kuwahimiza wachezaji waongeze kasi ya mashambulizi viungo wako vizuri lakini maforward du wanatia huruma ndowanaochelewesha ushindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom