Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea haina utaratibu wa kumpa Kocha mda wa kuandaa timu. Ni timu inayo hitaji mafanikio kwa haraka sana ukizingua unatimuliwa kama mbwa koko.
Akina ngwaba wamezimia muda huu. Aroon mwenyewe kajificha huko. Hajakatiza hapa tangu mpira umeanza.
Lampard tumpe misimu 3 ajenge timu anayoitaka. Kila mtu atatupenda
 
Abraham alikuwa na stress sana kuliko uwezo wake. Penalt ya mwisho si mchezo. Inahitaji confidence. Ukizingatia Liverpool walikuwa washaweka zote tano.
Me sijui hata walifikilia nini kumpa mtu asiye mkomavu penalty ya mwisho angepewa ya pili au ya tatu nina uhakika pressure ingekuwa chini na angepata.
Ile angepewa Barkley.
 
From the bottom of my heart
Lampard akipewa nafasi ni kocha mzuri sana huyu!
Apewe tu muda kuandaa team yake
Liverpool is too much kwa Chelsea kwa sasa

Kwel chelsea wanacheza mpira mzur japo wamefungwa sina deni kabisa na timu yang.
*malafyale* ongera na endelea kupata shampa
 
Mazingira ya msimu huu ni tafauti
Chelsea haina utaratibu wa kumpa Kocha mda wa kuandaa timu. Ni timu inayo hitaji mafanikio kwa haraka sana ukizingua unatimuliwa kama mbwa koko.
 
Hiyo hiyo. Sema waliharibu kumpa dogo penalt ya mwisho.
Abra amechomoa bettriii duuu lakini sio mbaya faina ilikuwa tamu sana na wanaotubeza waendelee tu ila wajue kabisa kupigwa na manure sio kigezo cha Chelsea kuwa kwasukwasu mwisho Wa msimu naiona the blues ikiwa kwenye top four .....Chelsea ni fire
 
Penalty hazina mwenye nazo hata wazoefu wanakosa
Me sijui hata walifikilia nini kumpa mtu asiye mkomavu penalty ya mwisho angepewa ya pili au ya tatu nina uhakika pressure ingekuwa chini na angepata.
Ile angepewa Barkley.
 
Kwel chelsea wanacheza mpira mzur japo wamefungwa sina deni kabisa na timu yang.
*malafyale* ongera na endelea kupata shampa
Chelsea bado wana timu nzuri sema mechi ya Man u kocha ndio alizingua kwa kuanzisha kikosi dhaifu. Naamini inaweza kuwa na msimu mzuri endapo kocha atakuwa akipanga kikosi imara.
 
Nikweli dogo alionekana kabisa kutokujiamini ile angepewa hata Pedro angefunga sio mbaya leo ndo tumejua namna timu ilivyo Mungu ibariki Chelsea ifanikiwe zaidi ya hapa
Penalty hazina mwenye nazo hata wazoefu wanakosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom