Inapendeza unapopata nafasi ya kucheza Super Cup kwa kumfunga Arsenal nyoronyoro 4-1 pale BAKU endeleeni kudanga team za watu ,maisha yako yote hautashuhudia Arsenal ikicheza Super Cup
Kesho tunaweka kambi humu,jiandae kumwaga mapovu
 
Mkuu hata husibishane na mashabiki wa Asernal na hawa wasiyojua mpira. Wanepata pa kupunguza maumivu waliyopata mwezi wa Tano baada ya kufungwa 4 na chelsea.



Labda niwaulize ninyi mnaojitoa ufahamu kwa chelsea.


Je, ni chelsea pekee ndiyo imewahi kufungwa goli 4?

Man city msimu ulipita alimfunga Liver 5 bila, man u kala 4 tot kala 5.

Pia chelsea imewahi mfunga man u 4 bila, man city 6, Arsena 4 na 6 pia

Kufungwa kupo na ndiyo maana mkikutana kuna kushinda kushindwa na kudraw.

Timu zote zinaingia uwanjani kwa lengo la kupata points 3 yaani kushinda bila kujali itashinda goli ngapi.

So upande mmoja ikizidiwa mbinu basi inafungwa na kuchukuliwa points zote 3.

Jana tumecheza mpira ila tulizidiwa mbinu ya kufunga. So kwangu kufungwa its ok na najua next time bila ya kujali ni lini tutakuwa pouwa makosa yetu yaliyo onekana jana yatarekebishwa na kocha.

So ni jambo la muda tu. Comeonchelsea. Always blue in colour
Mkuu sisi bado tupo imara sana ..ngoja tuunde timu ..wataelewa tu
 
Ni asenyoo pekee wehu walio toa mipesa kwa pepe ambaye hajawa proved kwenye epl... Huku mnakataa kuweka mkwanja kwa Zaha....
Uyo Pepe dream yake ni kucheza Chelsea ..wacha apate uzoefu kwanza uko msimu ujao anatua darajani..
 
Hili jukwaa fans wa ze buluzi wanachungulia kama wana aga maiti....

Wakifikiria kesho kuna msala mwingine

Zuma anachomoa betri tena kesho
FB_IMG_1565705945703.jpeg
 
Msimu huu humu kutatawala vilio na kusaga meno,tunatarajia kufikia mwez wa 12 muwe mnaelekea kushuka daraja ramsi
 
Hii timu alivyoondoka Hazard tu nilijua kwisha habari, Hazard was the real deal,hata ukiangalia msimu uliopita hazard was the difference sio mizoga ya kina kovacic, sijui jorginho, umfunge nani?

Kuna timu ambazo bila kuwa na wachezaji wenye personal technical ability haziwezi kuperform kabisa e.g Chelsea.
Ila Arsenal fan boys wanajua kufurahisha. Leo Jorginho na Kovacic wanaitwa mizoga wakati huo wewe kwenye timu yako una Toreira, Cebalos na Xhaka. Dunia haiishi vituko
 
Ila Arsenal fan boys wanajua kufurahisha. Leo Jorginho na Kovacic wanaitwa mizoga wakati huo wewe kwenye timu yako una Toreira, Cebalos na Xhaka. Dunia haiishi vituko
Msimu mtajipiga sana ban,huwez fananisha ceballos ,toreira na mido zako hizo, mechi na man u pogba anagongeana pass hadi goli utasema una kiungo ,ww una kante tu na yeye ameshaanza kuwa muhuzuriaji mzuri wa hospitali ,msimu huu nafas ya 10 ni Yenu
 
Back
Top Bottom