Nawatakia ushind mnono Liverpool kesho

Ili ukajinyonge vizuri
Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
 
Unamwaga povu kijana

wakati wenzie wanachota mafuta, kepa yeye anachokonoa terminal za betri
FB_IMG_1565705945703.jpeg
 
Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
Unapozungumzia London unaizungumzia Arsenal ,
Hiyo super cup kesho unapigwa na msimu huu utaharisha sana
FB_IMG_1565705787926.jpeg
 
Kinachonisikitisha team yako haiwezi kushiriki Super Cup ,utaendelea kuzitakia team zinazochukua ubingwa zinapocheza .Hebu kwa pamoja mashabiki wa Chelsea tusikitikie Arsenal kwani wao wanakwama wapi kuchukua ubingwa ,inasikitisha sana kuchagua Arsenal kuwa team yako
Nenda kashabikie ccm huko mpira huujui ,
Na kesho liver anawakung'uta NNE kwa yai
tapatalk_1565706245040.jpeg
 
Mm nasema msimu mtapigwa hadi mchakae ,sisi wachambuzi wazoefu tunaiona Chelsea ikifurukuta lakini inakata roho , sioni mkipata hata point 1 kwa top 6,

Naona Everton, Watford ,astonvilla , Leicester wakiwabonda

Kufikia krismass Mtabadili kocha lkn wachezaji ni hao hao ,

Mtapigika sana msimu huu

Una haki ya kutoa machungu uliyonayo. Kwasababu juzi tu hapa nimekuchakaza sawa sawa mpaka ukakimbia humu. So calm down nigger ni swala la muda tu
 
Kwa Kitaalamu Hii Situation Huko Kwenu Mnaiitaje....

Huyu Kepa Tumepigwa Mchana Kweupe
FB_IMG_1565706584062.jpeg
 
Aliyepata nafasi alikutoboa 4-1 BAKU nafasi zinakuja kwa team zilizo serious tu sio midebwedo kama arsenal.Wewe utazeeka kamwe hautaiona EUFA SUPER CUP ,Makombe hayaji kwa kutajataja majina ya wachezaji
Msimu huu nakupiga nje ndani,nahisi utapunguza mahaba na kimeo chako hicho, kwanza naona kama mechi inachelewa asee.kocha lenyewe libovu kutokea EPL amfunge nani huyu?
 
Hii timu alivyoondoka Hazard tu nilijua kwisha habari, Hazard was the real deal,hata ukiangalia msimu uliopita hazard was the difference sio mizoga ya kina kovacic, sijui jorginho, umfunge nani?

Kuna timu ambazo bila kuwa na wachezaji wenye personal technical ability haziwezi kuperform kabisa e.g Chelsea.
 
Back
Top Bottom